Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara.
NB; Sitaki habari ya betting
NB; Sitaki habari ya betting