Nifanyeje kwa mtaji wa 150k nipate faida ya 100k ndani ya muda mfupi?

Nifanyeje kwa mtaji wa 150k nipate faida ya 100k ndani ya muda mfupi?

Watu tunanuka shida kila kona. Tumia fursa hiyo. Muotee mtu mwenye shida na hela. Mkopeshe hiyo 150,000 mwambie akurejeshee 200,000. Wekeaneni muda Uchukue kitu chake cha thaman ambacho hata akizingua unakiuza kwa laki2 chap. Hakikisha unachukua kitu chake. Ukisha malizana na huyo cheki mwingine. Hela inayohitaji utaipata na zaidi😉
Nashukuru kwa wazo zuri, Nimelipokea.
 
Ni simpo tu. Download app ya jipimie cash kopa elf 15. Hapo hapo unawalipa wanakupa tena 51 elf ukiwalipa wamakupa 150,000 halafu unaendelea shuhuli zako. Hawatamaind sana!
 
Ni simpo tu. Download app ya jipimie cash kopa elf 15. Hapo hapo unawalipa wanakupa tena 51 elf ukiwalipa wamakupa 150,000 halafu unaendelea shuhuli zako. Hawatamaind sana!
Nilijaribu hivyo mkuu! Ila unakuta unakopa 20 alafu unalipa 26 (pamoja na riba) ukitegemea next time mkopo utapanda walau mpaka 50 lakini wapi! Unakuta unapanda kutoka 20 mpaka 22.Hapo mwisho wa siku na hizo riba unakula hasara.
 
Nenda kkoo sokon kule nunua Mkongo, post FB unanunua 5000 unauza 15000. Wateja kibao
 
Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara.

NB; Sitaki habari ya betting
Kama hautaki Betting,
Nunua vifaa vya usafi kafanye usafi majumbani wa aina mbalimbali kwa matu ambao wapo bize, watakulipa na utakuja kunishukuru.
Vifaa ni kama vile:
-Sabuni
-Dodoki, brush, broom
-Dawa za Chooni
-Boots
-Gloves
-Kwanja
-Jembe
-Vitambaa vya kufutia n.k

Shughuli za kufanya:
-Kuosha magari
-Kumwagilia bustani
-Kukata fensi
-Kuosha vyombo
-Kusafisha nyumba, madirisha, vyoo n.k
-Kufua

Usichague kazi, fanya kwa bidii halafu wewe mwenyewe jilipe vizuri kwa kutwa, unaweza kupata msaidizi mmoja au wawili ukamsimamia. Mwisho wa mwezi leta mrejesho hapa.
 
Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara.

NB; Sitaki habari ya betting
Kuna jamaa amekushauri kuhusu kutafuta mtu mwenye uhitaji wa hela umkopeshe kwa makubaliano ya kukulipa hiko kiasi kwa muda mtakao kubaliana,zaidi ya hapo fanya "Flipping",tafuta bidhaa au huduma yoyote fanya hivyo
 
Zungusha nguo za mitumba mkuu,au jipachike sehemu then piga kelele....elfu mbili mbili...elfu mbili mbili....vitop vya maana,Prova la kwenda shule(la buku mbili sasa🙄)
Sio manyara kwa wairaq wenzangu mzee
 
Back
Top Bottom