Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Nipo tayari kuja Dsm piaJose hilo jambo ni gumu.
Angalau ungekua Dsm
Kumbe wewe ni mjasiri na mali kabisa.Zungusha nguo za mitumba mkuu,au jipachike sehemu then piga kelele....elfu mbili mbili...elfu mbili mbili....vitop vya maana,Prova la kwenda shule(la buku mbili sasa🙄)
Unaposema muda mfupi, unamaanisha muda gani hasa??kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi?
Kanunue mtumba weka mezani piga kelele
Acha wogaUtaishia kupoteza na hicho kidogo ulicho nacho, take care.
Simple like that 🤣🤣🤣🤣Watu tunanuka shida kila kona. Tumia fursa hiyo. Muotee mtu mwenye shida na hela. Mkopeshe hiyo 150,000 mwambie akurejeshee 200,000. Wekeaneni muda Uchukue kitu chake cha thaman ambacho hata akizingua unakiuza kwa laki2 chap. Hakikisha unachukua kitu chake. Ukisha malizana na huyo cheki mwingine. Hela inayohitaji utaipata na zaidi😉
Onhoo🤭 acha tuKumbe wewe ni mjasiri na mali kabisa.
Nashukuru kwa wazo zuri, Nimelipokea.Zungusha nguo za mitumba mkuu,au jipachike sehemu then piga kelele....elfu mbili mbili...elfu mbili mbili....vitop vya maana,Prova la kwenda shule(la buku mbili sasa🙄)
Mkuu mbona nikitazama vitu vyangu 100% naona nina matumizi navyo?Uza simu hiyo.
Uza na baadhi ya vitu vyako ambavyo huna matumizi navyo sana.