Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Kwahio zinakiwa zimebaki kwenye meno mpka na we ujikute umekula?,siakila mwambie apige mswak bhana usimnyime uhuru sana mwenzio
 
Nina miaka 30 na kitu namtafuna huyu pig wala hana matatizo ila nikila nyama ya mbuzi mara tatu tu kwa wiki naumwa gaut
Basi Mimi ndio napenda Mbuzi balaa maana hana madhara makubwa sio PiG mnyama hatari kwa afya, Mbuzi napenda sana supu ya Kichwa mzee tamu balaa
 
Kaka mimi ni msabato mwenzio.
Usifungane na wasio amini.
Ila ishatokea endelea kusali na maombi kumsaidia.
 
Braza hata wewe ukionja mdudu hutokaa uache...kweni mdudu anashida gani? Acha kucomplicate maisha...acha wife apige mududu
 

Hii Post mbona niliiona Facebook?
 
Braza hata wewe ukionja mdudu hutokaa uache...kweni mdudu anashida gani? Acha kucomplicate maisha...acha wife apige mududu
daaaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuna muda huwa natamani niache lakin nikisikia harufu ya lost basiiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nina Bibi anafuga na kula ni zaidi ya miaka 60 sasahivi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€na yeye anakimbilia 93 na bado anaingia bandani mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ