Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

mkuu unaweza kudhani kama natania lakini mie nakwambia ukweli achana nae ana madhara nakumbuka niliumwa wiki nzima simtamani tena mpaka leo.
Una allergies zako huko,mfano Dada yangu hali mnyama yoyote mwenye miguu minne,anakula ndege tu na Sea food basi.......
 
Anza nawe kula gudude ni gutamu sana
 
Una allergies zako huko,mfano Dada yangu hali mnyama yoyote mwenye miguu minne,anakula ndege tu na Sea food basi.......
sio allergies nilimuona daktari aliniambia naumwa kwa sababu ya minyoo yanayopatikana kwenye nyama ya nguruwe.
 
Serikali gani hiyo? Kwahiyo gout gauti) hujawahi kusikia?
Wapi ulisikia wanasema usile mbuzi utapata Gout? Serikali imetangaza Juzi wewe hata habari huangalii na husikilizi utajulia wapi?
 
Wapi ulisikia wanasema usile mbuzi utapata Gout? Serikali imetangaza Juzi wewe hata habari huangalii na husikilizi utajulia wapi?
Inawezekana we ni mwangaliaji mzuri hongera,ila nilitaka ujue kuwa hata huyo mbuzi anamadhara usisubilie utangaziwe na serikali, nilidhani upo smart kutafuta taarifa ili ujue nn kina madhara kwako ila unamsubilia ummy akutangazie
 
Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Wewe unakulaga vingapi na yeye anakuwa hajui? Uwe unampa kisogo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kiswahili cha Iringa kule Mteraaaa.
Hugo gusimu, hugo gugari🤣🤣🤣
 
Ungana naye katika kulila, kwani tangu ameendelea kulila umemwona kafariki au kukondeana.MWACHE AJINOME.
 
Una dhambi sana[emoji28] ni machukizo kwa mthabato kunyonya denda, ni machukuzo kwenda chumvini au kunyonywa boloyangi, style ya sex inayokubaiwa na sisi wathabato ni misionary tu tena tusivue nguo zoye na taa tuzime. Uthabato hoyee
Sasa kama mambo denda hamna ni dhambi analia nini amwache ale kwa raha zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…