Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Bas msikulane dendaa, khaaaah
Kwan lazima, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]r
 
Ha ha ha nawewe bila shaka ushalishwa zile steki steki bila kujua anakulisha kimahaba.......anywei kuna vitu ni ngumu kuacha hata jamaa yangu mkewe aliahidi kuacha Pombe,baada ya Ndoa kama miezi 6 akaanza kumuomba mumewe angalau moja per day [emoji853]........saizi fridge linapendeza kabisa na jamaa hakuwa anakunywa saizi wote walevi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Some people don't eat pork for religious reasons, I will leave religion for pork reasons." Sili mdudu ila nimekumbuka huo mstari.

Nipo around mazee.
 
Nakumbuka nilisha wahi kupata demu mzuri kwelikweli, siku hiyo anakuja ghetto kavaa raba zake za Andy1 kali sana, Unyakyusa mwingi, basi mambo yameenda vizuri sana kasheshe likaja alipozivua.

Gentleman mimi nilikuwa na Mycota powder nikanyunyiza, kisha nikaenda kuzianika juani. Demu aliona aibu sana, akawa anaomba msamaha kwa kuchafua hali ya hewa.

Nikachemsha maji kwenye birika la umeme, nika dilute na ya baridi likapatokana joto fulani hivi muruwa sana lenye uwezo wa kuamsha na kuchochea moto wa mapenzi fasta.

Nikachukua shower gel yangu ya Piere Cardin, nikaidumbukiza miguu yake kwenye beseni lililokuwa na yale maji matamu. Nikaweka unyunyu mle wa Kiitaliano, chumba kizima harufu nzuri ikatawala.

Nikaanza kumuosha miguu huku nikim massage na kum tantalise, mara nimeshika hapa mara pale, demu anapiga tu kelele za mara.

Akapigwa dodoki la kufa mtu.

Ukitaka demu akuheshimu, mfanyie wema kwenye madhaifu na mapungufu yake

View attachment 2518883
 
Subiri hadi Campylobacteriosis ianze kumtafuna ndio ataelewa, au subiri hadi Cysticercosis impige kidogo ataelewa madhara Ila akiendelea kua mbishi basi usiwe na wasiwasi maana Neurocysticercosis itampa somo

The tapeworm eggs hatch, but instead of developing into an adult tapeworm in the intestines, they burrow into the bloodstream as would normally occur in a pig. In a human, they often end up in the brain, forming cysts that cause a disease called neurocysticercosis. It can cause seizures, headaches and can lead to death.

Ushauri wangu: muache aendelee kula pork madhara atayaona baadae saaana
Iringa wote wangekua vichaa kama kila anayekula kitmoto angeugua cysticercosis, kimsingi takwimu za dunia zinaonyesha huo ugonjwa ni mkubwa nchi za mashariki ya mbali kuliko huku.
 
Iringa wote wangekua vichaa kama kila anayekula kitmoto angeugua cysticercosis, kimsingi takwimu za dunia zinaonyesha huo ugonjwa ni mkubwa nchi za mashariki ya mbali kuliko huku.
Usinikumbushe majiko ya pale CCM
 
Back
Top Bottom