Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kuepusha changamoto kama hizi ni kila mtu aoe na kuolewa na mtu wa imani yake. Simple.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ile tunaita dua la kuku!Subiri hadi Campylobacteriosis ianze kumtafuna ndio ataelewa, au subiri hadi Cysticercosis impige kidogo ataelewa madhara Ila akiendelea kua mbishi basi usiwe na wasiwasi maana Neurocysticercosis itampa somo
The tapeworm eggs hatch, but instead of developing into an adult tapeworm in the intestines, they burrow into the bloodstream as would normally occur in a pig. In a human, they often end up in the brain, forming cysts that cause a disease called neurocysticercosis. It can cause seizures, headaches and can lead to death.
Ushauri wangu: muache aendelee kula pork madhara atayaona baadae saaana
Wanakula tende na alua,Muslims wenye vitambi, wanavitoa wapi ?
Sio dua ni ukweli wenyewe huo mzee,Hii ni ile tunaita dua la kuku!
Yale majiko hayana joto la nyuzi 100 na kwa taarifa yako yule mdudu hufa kwenye nyuzi joto 140 yaan hadi kwenye 100 bado anasurvive tu, bado una swali jingine?Ushaona wapiiii
Ni uongooo huoooo
Uongo huooo
Mdudu anaesavaivu amechemshwa kwny joto ta c'100 na akapitishwa ktk mafuta na kukaushwa ni mdudu yup??
Anasavaivu vipi? Kitu kichemshwe kwa masaa kadhaaa kitolewe kipitishwe kwny mafuta...Yale majiko hayana joto la nyuzi 100 na kwa taarifa yako yule mdudu hufa kwenye nyuzi joto 140 yaan hadi kwenye 100 bado anasurvive tu, bado una swali jingine?
As long as hakiathiri utamu, muache tu aleMimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Yani aleji zako ndio ututishe wote? Serious?mkuu unaweza kudhani kama natania lakini mie nakwambia ukweli achana nae ana madhara nakumbuka niliumwa wiki nzima simtamani tena mpaka leo.
Waachee kwn kuna shida gan kuna wengine hawatumiii facebook so kitu kikiwa huko hwawez onaaNimeshangaa kuiona huku ,it means watoa post wa humu wanacopy mambo facebook wanakuja ku_enjoy watu humu.
Kitimoto sio sumuKwaiyo ata kama akimuona anakunywa sumu amuache?
mwambie huyoooHata unavyotembea tu Kuna madhara makubwa sana,msimsingizie Nguruwe
Na wewe mgugude tigoMimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Kama mnavyopenda kusema kula nguruwe ni dhambi na imeandikwa ebu tuletee hapa andiko ktk Biblia linaloruhusu kunyonyana midomo kati ya mwanamke na mwanaume!Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Mwache tu,yani mtuu aache kitimoto hivi hivi ?
Nawewe jaribu kidogo hakika hutojuta maishani