Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Tubadilishane Mkuu.

Mimi wangu ni Muslim hali Mdudu na mimi napenda sana kula. Nadhani huyu wangu mtaendana
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mpaka mtolewe roho ndo mjue ndoa hazifai!!!!??? Tushawaambia fanyeni maisha yenu, Madem kibao mtaani...unaoa ili ugundue kitu gani!?
Aya sasa, huwa mnasema mwanaume ndo kichwa cha familia...onesha ukichwa wako sasa acha kulialia mitandaoni.
#KATAANDOA
 
Sawa mtoto wa singool maza nimekusikia
 
We umeona kula kitimoto,huyo hata kusali anasali dini lake la asili, kukisalit kitu ulichokuwa nacho tangu utoto ukiwa mtu mzima yataka moyo, hapo linda ndoa tu mengine ya kiiman linda moyo wako mwenyewe
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?
Wazungu ni watu hatari sana wametuletea mpaka nyama za nguruwe wa kutengeneza maabara na kutukataza kuwinda nguruwe pori na digidigi.

Wametuletea kuku wa maabara na kutukataza kuwinda kware na kuku.
Huruhusiwi hata kuingia kwenye hifadhi yenye nguruwe pori.
Hawa nguruwe wa madawa hawana tofauti na kuku mabroila.
Wakati umefika Waafrika turudi Edeni.
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?
Kwani yeye akila wewe unadhurika na nini?,Yaani pilipili ale Mwingine kuwashwa awashwe Mwingine.Halafu koma kumwita Kitimoto gudude.
 
Waliochangia hii thread wote wanakula Kitimoto, ni wateja wangu wazuri sana akiwemo muanzisha thread!
 
Njooni huku uhamiaji kwenye kitimoto na hapa silver pork n a hapa Vegas pub tujasilianw hili swala
 
Natamani nikutukane aisee! Mkubwa, hebu onja na wewe uone utamu wa hiyo mboga. Kwanza ulivyoitaja ushanipa stimu, ngoja nikaagize robo tatu na ndizi nne
 
Back
Top Bottom