Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

Hama mkuu. MTU anaitetea fisiemu alafu mtaani KWAKE kumbe anaishi kwa kitonga NDO MANA hawaoni SHIDA ya fisiemu hama mkuu MWAMBIE akikanyaga mlangoni kwako unampigia mwanzo akasaidiwe na fisiemu
Sawa mkuu.
Nimekuelewa
 
Mfahamishe mumuwe pengine hajui. Ila wakati mwingine hizo ni silka ya mtu. Wewe hauna silka ya kunyima/kukataa/uchoyo. Ivyo utaweza kusema leo hapana kesho wakurudi utakosa ujasiri wa kukataa. Hiyo ndio silka yako ungekua hauna silka hiyo kitambo ungekua ushakata mrija na wasingerudi tena. Kwa kesi ya watoto wezesha tu ambacho kwako hakitogeuka maumivu.
 
Hama ama huyo mama anasubiria siku umnyime akuroge! Ni kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…