Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

Kama ni Wewe muumini wa Mungu,

Unapoishi ndio sehemu Yako ya ibada,

Na chakula unachogawa ndio sadaka Yako Kwa bwana.

Usiache kutoa hiyo sadaka,

Huwezi jua,
Huenda Mungu anakupa rizki Yako kupitia hao wasiojiweza,ili uwasitiri
 
Ndio, najitoa sana na ni kwa ajili ya watoto.
Nawaonea huruma sana
 
umeandika nilichokuwa nawaza ila sijui nianzie wapi shukrani sana.
Kama huwajawahi kulala njaa na hujui hata kesho itaishaje huwezi kuelewa, isikie tu kwa watu omba Mungu akuepushie huo mtihani
 
Kama ni Wewe muumini wa Mungu,

Unapoishi ndio sehemu Yako ya ibada,

Na chakula unachogawa ndio sadaka Yako Kwa bwana.

Usiache kutoa hiyo sadaka,

Huwezi jua,
Huenda Mungu anakupa rizki Yako kupitia hao wasiojiweza,ili uwasitiri
SAWA kama ni watoto KWELI na wanataka msaada ni kweli toa MUNGU atakulipa ILA wasiwasi wangu ni MTU kuingia ndani kwako unamo lala no HIVI huwa hatujifunzi mazoea GANI hayo akiitaji msaada apewe ILA ndani kuingia no adui Yako atoki mbali akikuibia chupi TU ikapigwa dawa umeishaaaaaaa. Toa msaada ILA mipaka ni lazima SIO kuingia ndani big nooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…