Pamoja bossHapa ni ukweli tupu.
Hatari sana aisee.
Najitahidi ila nitafika ukomo
Samahani niko nje ya mada, hivyo unavojisikia jirani zako wakiwa wanakuomba vitu mara kwa mara, ndo sisi wanaume tunavojisikia pale mnavotuomba hela mara kwa mara baada ya kuwatongoza AmKATRINANajikuta najisahau nawapa.
Hasa hasa akiwatuma watoto wake
Wakirudi tena unawaambia huna, yaani ukiwapa ndiyo unawaendekeza inatakiwa kila wanapokuja wewe useme huna tuNilishawahi wafanyia hivo, wanapumzika siku 4 au 5.
Ya sita hawa hapa
Hapa bwana we tafuta chumba kingine maeneo ayoayo, kama mtu hukuzaliwa na roho ngumu kutekeleza ushauri wa baadhi ya wachangiaji ni ngumu kutekelezeka, kwa kua hakuna ajuae kesho yetu, na hao watoto kesho yao hatujui nini ,mungu ameweka ndani yao we tafuta chumba kwingine ,ili uachane nao kwa amani basi ,cha msingi wanajua umewasaidia na ulikua unawasaidia.Nadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya.
Hapa nilipopanga tunaishi wapangaji 3.
1. Mimi.
2. Chumba kingine anaishi kijana mmoja dereva wa gari la mafuta hivo mara nyingi anakuwa nje ya mkoa.
3. Chumba kingine anaishi baba, mama na watoto wake 5 kwenye chumba kimoja na sebule.
Baba akiwa anafanya kazi gereji na mama ni mpika vitumbua.
Sijajua wanalalaje ila mimi naleta kero yangu jamani.
Hii familia imekuwa ni kero kubwa sana kwangu aisee.
Yaani ni wanaomba kuliko unavyodhani.
Hatukatai kama shida ni ya kila mmoja ila ikizidi huwa kero kubwa sana kwa wengine.
Wakiamka tu asubuhi, mama huyo huja kunigongea mlango mara aombe sukari, mara majani ya chai.
Ikifika mchana utasikia umepika nini, naomba kijiko kimoja cha mchuzi nimlishe mwanangu.
Usiku ikifika anakuja mtoto wake mlangoni kwangu na chakula kikavu hata sahani 3 akitaka niwawekee mboga.
Yule baba nadhani anaacha pesa ya matumizi ila sijui ni kwamba haitoshi au sijui kuna nini.
Nikipika mboga au chakula kosa kisinukie, utasikia hodi mlangoni na kibakuli.
Akitoka anawaachia maagizo wanae kuwa wakirudi shule waje kwangu niwape mia mbili mia mbili wakanunue maandazi wakati hajaniachia pesa yoyote.
Yaani wanaomba kila kitu.
Kuanzia asubuhi mpaka jioni
Wakipumzika ni siku 2 ya 3 wako mlangoni kwangu.
Kuna siku nilimuuliza kwani huachiwi pesa ya matumizi.
Akasema anaachiwa ila haitoshi, nikasema si unachoma vitumbua?
Akanijibu matumizi mengi sana ndani kwake hivo nimsaidie tu hivohivo.
Yaani naweza nikawa nimelala au nacheki Tv, nasikia hodi natoka nje nikijua ni mgeni wangu ila nikifungua ni yeye anataka mara kitunguu au nyanya.
Kuna siku niliwahi mwambia kuwa apunguze usumbufu wa kuja kuomba vitu, akapumzika siku 5 tu, ya sita huyu hapa.
Tena sahv anawatuma wanae waje kuniambia kwamba wana njaa niwape chakula
Nina uwezo wa kuhama ila hapa ni jirani na kibaruani kwangu.
Natembea tu na miguu.
Nakaa hapa kuepusha gharama ya safari.
Wazoefu naombeni la kufanya.
hakika soma matendo ya mitume 10,utaona nguvu ya sadaka (10%) kwenye ulimwengu wa fedha hata kwa wapagani wanautumia sana kwenye kafara na wanafanikiwa.Hapo ndipo penyewe.
Ndio
🙏🙏Sawa mkuu.
Na asante sana kwa ushauri wako
Mh! mke kumbe wew n mtata hivyo,hakika utajenga gorofa.Wakirudi tena unawaambia huna, yaani ukiwapa ndiyo unawaendekeza inatakiwa kila wanapokuja wewe useme huna tu
Siyo kiviiile ila sipendagi ujinga ujinga wa namna yoyote ileMh! mke kumbe wew n mtata hivyo,hakika utajenga gorofa.
Mkuu huyu ni pisi kali.Mtombe tu huyo mama
hakika unafaa kuwa mama watoto maana mm nina kahurumaSiyo kiviiile ila sipendagi ujinga ujinga wa namna yoyote ile
Baraka hizo usipende sana kumind vitu vinavyohusiana ma chakula .jiepusha kumind mambo ya chakula....... vitu vya kumind mi michongo ya kuingiza pesa.... we wape tu si vimichuzi tu hivyo bob wakiomba hela sema sina ....ila vimichuzi sijui vinyama uwapa hata kijiko kimoja kimoja .... narudia tena epuka sana kumind vitu vinahusiana na chakula hasa ukiwa mtoto wa kiumeNadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya.
Hapa nilipopanga tunaishi wapangaji 3.
1. Mimi.
2. Chumba kingine anaishi kijana mmoja dereva wa gari la mafuta hivo mara nyingi anakuwa nje ya mkoa.
3. Chumba kingine anaishi baba, mama na watoto wake 5 kwenye chumba kimoja na sebule.
Baba akiwa anafanya kazi gereji na mama ni mpika vitumbua.
Sijajua wanalalaje ila mimi naleta kero yangu jamani.
Hii familia imekuwa ni kero kubwa sana kwangu aisee.
Yaani ni wanaomba kuliko unavyodhani.
Hatukatai kama shida ni ya kila mmoja ila ikizidi huwa kero kubwa sana kwa wengine.
Wakiamka tu asubuhi, mama huyo huja kunigongea mlango mara aombe sukari, mara majani ya chai.
Ikifika mchana utasikia umepika nini, naomba kijiko kimoja cha mchuzi nimlishe mwanangu.
Usiku ikifika anakuja mtoto wake mlangoni kwangu na chakula kikavu hata sahani 3 akitaka niwawekee mboga.
Yule baba nadhani anaacha pesa ya matumizi ila sijui ni kwamba haitoshi au sijui kuna nini.
Nikipika mboga au chakula kosa kisinukie, utasikia hodi mlangoni na kibakuli.
Akitoka anawaachia maagizo wanae kuwa wakirudi shule waje kwangu niwape mia mbili mia mbili wakanunue maandazi wakati hajaniachia pesa yoyote.
Yaani wanaomba kila kitu.
Kuanzia asubuhi mpaka jioni
Wakipumzika ni siku 2 ya 3 wako mlangoni kwangu.
Kuna siku nilimuuliza kwani huachiwi pesa ya matumizi.
Akasema anaachiwa ila haitoshi, nikasema si unachoma vitumbua?
Akanijibu matumizi mengi sana ndani kwake hivo nimsaidie tu hivohivo.
Yaani naweza nikawa nimelala au nacheki Tv, nasikia hodi natoka nje nikijua ni mgeni wangu ila nikifungua ni yeye anataka mara kitunguu au nyanya.
Kuna siku niliwahi mwambia kuwa apunguze usumbufu wa kuja kuomba vitu, akapumzika siku 5 tu, ya sita huyu hapa.
Tena sahv anawatuma wanae waje kuniambia kwamba wana njaa niwape chakula
Nina uwezo wa kuhama ila hapa ni jirani na kibaruani kwangu.
Natembea tu na miguu.
Nakaa hapa kuepusha gharama ya safari.
Wazoefu naombeni la kufanya.
Ulimzoesha vibaya... Kwenye nyumba za kupanga usitake mazoea ya kupitiliza ... Suluhisho ni kuhama tuNadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya.
Hapa nilipopanga tunaishi wapangaji 3.
1. Mimi.
2. Chumba kingine anaishi kijana mmoja dereva wa gari la mafuta hivo mara nyingi anakuwa nje ya mkoa.
3. Chumba kingine anaishi baba, mama na watoto wake 5 kwenye chumba kimoja na sebule.
Baba akiwa anafanya kazi gereji na mama ni mpika vitumbua.
Sijajua wanalalaje ila mimi naleta kero yangu jamani.
Hii familia imekuwa ni kero kubwa sana kwangu aisee.
Yaani ni wanaomba kuliko unavyodhani.
Hatukatai kama shida ni ya kila mmoja ila ikizidi huwa kero kubwa sana kwa wengine.
Wakiamka tu asubuhi, mama huyo huja kunigongea mlango mara aombe sukari, mara majani ya chai.
Ikifika mchana utasikia umepika nini, naomba kijiko kimoja cha mchuzi nimlishe mwanangu.
Usiku ikifika anakuja mtoto wake mlangoni kwangu na chakula kikavu hata sahani 3 akitaka niwawekee mboga.
Yule baba nadhani anaacha pesa ya matumizi ila sijui ni kwamba haitoshi au sijui kuna nini.
Nikipika mboga au chakula kosa kisinukie, utasikia hodi mlangoni na kibakuli.
Akitoka anawaachia maagizo wanae kuwa wakirudi shule waje kwangu niwape mia mbili mia mbili wakanunue maandazi wakati hajaniachia pesa yoyote.
Yaani wanaomba kila kitu.
Kuanzia asubuhi mpaka jioni
Wakipumzika ni siku 2 ya 3 wako mlangoni kwangu.
Kuna siku nilimuuliza kwani huachiwi pesa ya matumizi.
Akasema anaachiwa ila haitoshi, nikasema si unachoma vitumbua?
Akanijibu matumizi mengi sana ndani kwake hivo nimsaidie tu hivohivo.
Yaani naweza nikawa nimelala au nacheki Tv, nasikia hodi natoka nje nikijua ni mgeni wangu ila nikifungua ni yeye anataka mara kitunguu au nyanya.
Kuna siku niliwahi mwambia kuwa apunguze usumbufu wa kuja kuomba vitu, akapumzika siku 5 tu, ya sita huyu hapa.
Tena sahv anawatuma wanae waje kuniambia kwamba wana njaa niwape chakula
Nina uwezo wa kuhama ila hapa ni jirani na kibaruani kwangu.
Natembea tu na miguu.
Nakaa hapa kuepusha gharama ya safari.
Wazoefu naombeni la kufanya.
Usimnyime fukara msaidie masikini utazidishiwa pale ulipopunguza kuna siku atakulipia wema wako iwe hapa hapa duniani au ukiwa tayari umeshakufa hatokusahauAsante sana.