Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Ya kwenye simu na nje ya simu huwa anajua. Kwani Inawezekana kudukua simu ya mtu bila kuishika?
 
Out of topic "haya matamthilia yanaharibu sana jamii zetu hii "privacy" inamaanisha nini sasa yani kipi haswa unataka kumficha mwanandoa mwenzako na ni kwa sababu zipi...kiujumla itakuwa sio kwa nia njema achana na maigizo ya "privacy" hivi ulishawahi kusikia wazazi wako au babu na bibi yako wakiongelea au kuhitaji hicho kitu *privacy huku kuigaiga uzungu na umagharibi kunawaharibia sana mahusiano wanandoa wengi,tuige mazuri na yenye faida tu mengine hata wao hawayafanyi wanapokuwa kwenye uhalisia mengi unayoyaona huko kwenye tamthilia ni maigizo *JIONGEZE
 
Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy

Sasa wewe umoelewa unataka privacy gani tena

Nakedness is the biggest privacy sasa kama hiyo hauna kwake unataka privacy gani tena
 
Sasa wewe umoelewa unataka privacy gani tena

Nakedness is the biggest privacy sasa kama hiyo hauna kwake unataka privacy gani tena
Kama kwako ni sawa its okay.
 
Kujitafutia presha za rejareja tu!!
 
Kwa hiyo hata ulicho andika hapa tayali amejua 🤔🤔🤔 yuko wapi huyo anipe hiyo dawa na mimi 🚶🚶🚶🚶
 
Ninachokiona hapa wewe ndio mshirikina
 
Marafiki zako huwa wanamwambia..chunguza huuo unaeongea nae...zero in kufatilia Nan huwa ukiongea nae exact anakuja kukwambia...jaribu kuongea na watu watano na uongee nao issue tofauti..halafu angalia akija kusema Kama atasema story za wote watano....kikulacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…