Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nibora hata angenifungia ndani isingekuwa tatizo, ila hiyo ya kuniona kila hatua siikubali kabisa
Unaposema anakuona kila hatua, ina maana hata huu uzi uliofungua Jf ameshauona na kukuuliza?
 
Unaposema anakuona kila hatua, ina maana hata huu uzi uliofungua Jf ameshauona na kukuuliza?
Anafanya siri, anafkiri mi sijui. Kwahiyo hanulizi kila kitu
 
Ohoo.... Kwa God njia ni zipi? Na kwa leviathan connection inapatikana wapi? Penye uhakika wa kupata nachotaka ni wapi? Mchakato huchukua mda gani mpaka nibobee?
Jay achana na hz mammbo mkuu😂
 
Wee hupendi kuwa super power? Napenda niwe na uwezo kuzidi ubinadamu ili nipate uzoefu wa ziada
Hadi hapo ushafail .. umetaka vitu kutokana na msukumo wa nje.Umetamanai kuwa Validated na kuwa accepted na wengine na hivi ndivyo watu hutegwa.
Usiishi kwa nusu taarifa jua kila kinacho husu unachokitaka.

Na kuwa juu ya watu lazima uanze kuwa mtumishi wao kabla ya wao kujisubmit na kukutii na kukuabudu.
 
subiri utolewe roho, omba sana Mungu. huyo ana roho ya uganga. nilishawahi kuwa nayo hadi nilipomkimbilia Mungu ndio ikakimbia. kuna kipindi kila kinachoenda kufanyika keso au wiki nzima nilikuwa najua na nina uhakika nacho na kinatokea kweli. huyo mwenzako hajui kwa nguvu zake, ni kwa nguvu za shetani, na hana uwezo dhidi ya hizo nguvu na hata hizo nguvu zikitaka roho yako kupitia yeye hazitahitaji ridhaa yake, watakutwaa tu. pia umeshawekwa kweney survaillance ya kuzimu hapo upo wazi kila unachokifanya anakiona kwenye ulimwengu wa roho. kimbilia kwa Yesu haraka kabla hujafa, utakuja kunishukuru.
 
Hizo nguvu huwezi zicontrol? Hazitawaliki? Huwezi kuzizima na kuziwasha?
 
Vipi ile experience ya ku interact na viumbe wasioonekana? Kuona yasioonekana, hicho ni kipawa bora sana
 
Vipi ile experience ya ku interact na viumbe wasioonekana? Kuona yasioonekana, hicho ni kipawa bora sana
 
Vipi ile experience ya ku interact na viumbe wasioonekana? Kuona yasioonekana, hicho ni kipawa bora sana
Huo uchawi kaka acha 😂 la sivyo uwe mutu ya Mungu na ndie atakufunulia mengi ya sirini
 
AsanTe sana
 
Uhuru wa nini na wewe umeolewa!unataka ufanye nini ambacho mumeo hutaki ajuwe...?
 
Endelea kuchepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…