Ahahahahahaha hiyo nazi sahv itakunwa na kibao kimoja cha mbuziKutaka kwako kuperekewa Moto na wahuni kutakupereka kubaya ...........tuliza mshono........kama ulizoea kukunwa kunwa hapa utaumia...............
Dawa ipo ...we ndo huijuiSi useme kuwa ka hack simu yako? Maana hakuna jinsi anavyoweza kujua umeongea nini au umetuma sms gani kama hajadukua simu yako.
Hakuna dawa ya kiganga yenye uwezo huo unless kama unao ongea nao ndo wanampa umbea
Ameshaiteka nafsi yako simama na Mungu wako simama imara sanaSalaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.
Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.
Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Hii dunia Ina mambo...Kuna wanao jua kitugani unafikiria....Si useme kuwa ka hack simu yako? Maana hakuna jinsi anavyoweza kujua umeongea nini au umetuma sms gani kama hajadukua simu yako.
Hakuna dawa ya kiganga yenye uwezo huo unless kama unao ongea nao ndo wanampa umbea
Haya mambo huanzia kwenye vivuliHii dunia Ina mambo...Kuna wanao jua kitugani unafikiria....
Nataman kuandika mengi itoshe kusema Kuna watu Wanao huo uwezo wakujua
JamaniiiiHii dunia Ina mambo...Kuna wanao jua kitugani unafikiria....
Nataman kuandika mengi itoshe kusema Kuna watu Wanao huo uwezo wakujua
Basi hatuko salama kama hii technology ipo basi ni balaa
Acha dhana potovu. Unampenda kakupenda tulia kwenye ndoa. Jiingize kwenye hayo mauchawi sijuwi uganga ujute. Hivi wanawake mbona mna mambo ya ajabu sana. Ukiachwa usilalamikie mtuSalaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.
Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.
Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Privacy kwa mme wako kabisa ni ya nin? Ina maana hiyo ndoa si ndoa halali bali ni maigizo tu.Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.
Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.
Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Narudia kwa msisitizo,acha uchepukaji,hivi kwanini hamuheshimu ndoa zenu?kama ulikua huhitaji ndoa kwanini ulikubali kuolewa?Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy
Usipende kuhukumu watu, hasa kwa wale ambao huwajui kiundani.Narudia kwa msisitizo,acha uchepukaji,hivi kwanini hamuheshimu ndoa zenu?kama ulikua huhitaji ndoa kwanini ulikubali kuolewa?
Tahadhari;mtego unaofuata hapo ni wakusababisha kifo kwa yeyote utakae chepuka nae.Sasa upi utakua bora huo wa kwanza ama wa pili?
Kimsingi haya maushirikina sio mazuri,kwa mujibu wa wahenga kwakawaida kama ukitegwa kwa mwanamke bahati mbaya yule mwanaume alietegwa kama hatalala na huyo mwanamke,kinachofuata mtego utamuua mwanamke alietegwa.
Sasa wewe endelea kishupaza hio shingo yako.
Dah! Mnanihukumu sana kwamba nachepuka, guys sipo hivyo. Kama kunicheat yeye ndo huwa namfumania sio chini ya mara moja, shida ili tego sio la upendo ni kwamba tu anajihami anahisi na mimi ntalipiza, kitu ambacho honestly siwezi kufanya. Ni hapo tu ndo nakwazika anapotaka kuniona kwa kiiila kitu ilhali mi simuoni.Privacy my weed, unahitaj uhuru ila huo uhuru unaoutaka haupatikani ukiwa ndoani. Achika kwanza
Privacy kwa mme wako kabisa ni ya nin? Ina maana hiyo ndoa si ndoa halali bali ni maigizo tu