Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Ameshaiteka nafsi yako simama na Mungu wako simama imara sana
 
Si useme kuwa ka hack simu yako? Maana hakuna jinsi anavyoweza kujua umeongea nini au umetuma sms gani kama hajadukua simu yako.

Hakuna dawa ya kiganga yenye uwezo huo unless kama unao ongea nao ndo wanampa umbea
Hii dunia Ina mambo...Kuna wanao jua kitugani unafikiria....
Nataman kuandika mengi itoshe kusema Kuna watu Wanao huo uwezo wakujua
 
"Mme au mke na kukata kichwa "

Soon hiyo taarifa tutaikuta kwenye Gazeti na account ya Instagram ya Millard Ayo
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Acha dhana potovu. Unampenda kakupenda tulia kwenye ndoa. Jiingize kwenye hayo mauchawi sijuwi uganga ujute. Hivi wanawake mbona mna mambo ya ajabu sana. Ukiachwa usilalamikie mtu
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Privacy kwa mme wako kabisa ni ya nin? Ina maana hiyo ndoa si ndoa halali bali ni maigizo tu.
 
Privacy my weed, unahitaj uhuru ila huo uhuru unaoutaka haupatikani ukiwa ndoani. Achika kwanza
 
Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy
Narudia kwa msisitizo,acha uchepukaji,hivi kwanini hamuheshimu ndoa zenu?kama ulikua huhitaji ndoa kwanini ulikubali kuolewa?

Tahadhari;mtego unaofuata hapo ni wakusababisha kifo kwa yeyote utakae chepuka nae.Sasa upi utakua bora huo wa kwanza ama wa pili?

Kimsingi haya maushirikina sio mazuri,kwa mujibu wa wahenga kwakawaida kama ukitegwa kwa mwanamke bahati mbaya yule mwanaume alietegwa kama hatalala na huyo mwanamke,kinachofuata mtego utamuua mwanamke alietegwa.

Sasa wewe endelea kishupaza hio shingo yako.
 
Hii dunia Ina mambo...Kuna wanao jua kitugani unafikiria....
Nataman kuandika mengi itoshe kusema Kuna watu Wanao huo uwezo wakujua
Hii tabia pia anayo. Ya kujua unachofkiria mkiwa nae.
 
Narudia kwa msisitizo,acha uchepukaji,hivi kwanini hamuheshimu ndoa zenu?kama ulikua huhitaji ndoa kwanini ulikubali kuolewa?

Tahadhari;mtego unaofuata hapo ni wakusababisha kifo kwa yeyote utakae chepuka nae.Sasa upi utakua bora huo wa kwanza ama wa pili?

Kimsingi haya maushirikina sio mazuri,kwa mujibu wa wahenga kwakawaida kama ukitegwa kwa mwanamke bahati mbaya yule mwanaume alietegwa kama hatalala na huyo mwanamke,kinachofuata mtego utamuua mwanamke alietegwa.

Sasa wewe endelea kishupaza hio shingo yako.
Usipende kuhukumu watu, hasa kwa wale ambao huwajui kiundani.
 
Privacy my weed, unahitaj uhuru ila huo uhuru unaoutaka haupatikani ukiwa ndoani. Achika kwanza
Dah! Mnanihukumu sana kwamba nachepuka, guys sipo hivyo. Kama kunicheat yeye ndo huwa namfumania sio chini ya mara moja, shida ili tego sio la upendo ni kwamba tu anajihami anahisi na mimi ntalipiza, kitu ambacho honestly siwezi kufanya. Ni hapo tu ndo nakwazika anapotaka kuniona kwa kiiila kitu ilhali mi simuoni.
 
Ni ndoa halali kabisa. Kama mume kuna ambayo anapaswa kuyajua na ambayo hatakiwi kabisa kujua. Dunia imebadlika mkuu. Kuna kuachana japo siombei, imagine mtu anajua hadi unachofkiria/ kukiwaza!!! Kweli!!! Yaani ajua mipango yako yote hadi maongezi ya wewe na familia yako!! Heh, mi siwezi jamani.
Privacy kwa mme wako kabisa ni ya nin? Ina maana hiyo ndoa si ndoa halali bali ni maigizo tu
 
Back
Top Bottom