Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Dada we kaa kwenye kodi hivyo vipaji vipo kama ulimtaka wa kumcheat au kummudu basi umeingia chaka huo ndo ukweli sepa mapema ukatafute uhuru kwa wasiojielewa.
Kipaji sio division one ya kibaha
 
Ni mMakonde mkuu
 
Anajiamini sana kwaajili ya huo mtego wake. Simu yangu huwa hashiki.
Anakupenda na anakuhitaji kwa muda mrefu sana. Nyenyekea tu. Kama unabed nae uchi privacy gani tena?

Ukifanikiwa kutengua Mtego wake ndio siku ataacha kukuamini tena na ndio siku nyumba yako itaanza kubomoka. Jichunge asijue hata kuwa umefanya jaribio hili, maana atajiuliza UNATAKA KUFICHA NINI KAMA SI USALITI!

Huyo jamaa smart sana, nanyi hiyo dawa yenu!
 
Unataka kusaliti ndoa kwani? So Mchawi ana maono huyo. Halafu waganga sio wachawi.
 
Mtoa mada acha kuendeleza utawala dume,push back na achana na mawazo ya kishirikina, kesho acha simu yako ndani, weka silence na nenda kaongee na yeyote na akirudi msikilizie, kwangu naona ame hack simu yako au ameweka cctv ya kificho humu nyumbani mwenu, unaishi once na sio lazima kuolewa na ishi maisha yako ya furaha sio kuishi kwa ajili ya bwana,elewa upo huru to file divorce ukiona shida
 
Nampenda sana hadi nahisi sio akili zangu😒
Tulia Sasa yeye na wewe Ni mwili mmoja ,hata kichwa kilitakiwa kiwe kimoja na tumbo moja. Naye anakupenda ndio Mana ameamua kukatalia kabisa.

Nishawahi penda mpaka nikaenda kutaka kumuoa mtu bana.upendo achana naye. Huyo anakupenda mpaka ameamua kujiunganisha mind zenu ziwaze sawa jamani. Ni upendo wa Hali ya juu mno
 
Jiamini na uzidi kumpenda mmeo. Look, hisia zako mbaya zinakuondolea credits kwa mmeo. Just love your husband unquestionable and then, acha atafakari yeye mwenyewe mambo mengine. Wanaum tuna mambo mengi kwelikweli.

Huenda yupo busy anatafakari nini afanye kwa ajili ya mke wake. Mpende tu, mpende tena na tena. Speak to him softly dear. Onesha utii na adabu. Atanyooka tu. Stop wasting your time on the negative side.

Mimi naamini mmeo anakupenda sana na ndio maana anakukumbusha usipotoke lakini pia anaweza kuwa muaminifu sana.
 
Ina maana ameshajua kuwa umemfungulia uzi?

Kimbilia kanisani kaombewa ukate connection ya pepo la utambuzi.
 
I hope so. Thanks.
 
okoka,mpe yesu maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…