Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Tumekujua kupitia huu uzi-Mumeo ameweka hizo program kwenye simu take maana take hakuamini kwa nini unataka sisi tukuamini kama mumeo hakuamini.
Acha umalaya,kama ndio imekushinda rudi kwenu.
Bonge la changu dowa
 
Punguza jazba sijaolewa na kakaako. Kama huna utatuzi si ulale zako tu, sio unahukumu mtu ambae humjui.
Mi sina jazba nae naelez fact kulingana na Uzi wako,narudia tena kwa kuambia mpaka Mumeo amekuwekea hiyo spying app maana yake hakuamini.
 
Huyo nipe namba yake. Nimpatie kazi
 
Hakuna cha mtihani wala nini! Jitulize mwanamke. Mtu anayeuchungulia uchi wako kila siku unataka umfiche nini eboo!?
Yani watu wengine sjui mnachangia mada mkiwa na stress zenu basi ndo mnazidi kuharibu uzi
 
Kama we ni muaminifu mbona hamna haja ya kukwazika kwani una privacy ipi ambayo hutaki mumeo ajue wakati ninyi ni mwili mmoja... Umeingia kwa ndoa acha kuwa na mambo mengi tulia, Me mke wangu nina mpango wa kwenda kumuwekea ile ya kunasia😎
 
Kama we ni muaminifu mbona hamna haja ya kukwazika kwani una privacy ipi ambayo hutaki mumeo ajue wakati ninyi ni mwili mmoja... Umeingia kwa ndoa acha kuwa na mambo mengi tulia, Me mke wangu nina mpango wa kwenda kumuwekea ile ya kunasia😎
Na wewe jiwekee
 
As ante Sana, angalau umenielewa.
 
Mumeo ni mshamba,mwambie aache ushamba maana ukitaka kuchepuka utachepuka tu hata afanyeje. Unaweza kuwasiliana na mchepuko wako kwa Barua tu na si simu na mkamalizana na maisha yakaenda.

Mwambie aache usukuma!
 
Na wewe jiwekee
Namuwekea yeye maana ndo ninapaswa kuishi nae kwa akili, kama na yeye pia ndo njia anayoona ni sahihi basi akaniwekee pia ila mimi tayari lipo kwenye mpango wangu ni ratiba za kazi tu zinanibana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…