Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Punguza jazba sijaolewa na kakaako. Kama huna utatuzi si ulale zako tu, sio unahukumu mtu ambae humjui.
Mi sina jazba nae naelez fact kulingana na Uzi wako,narudia tena kwa kuambia mpaka Mumeo amekuwekea hiyo spying app maana yake hakuamini.
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani🙏😒.
Huyo nipe namba yake. Nimpatie kazi
 
Kama we ni muaminifu mbona hamna haja ya kukwazika kwani una privacy ipi ambayo hutaki mumeo ajue wakati ninyi ni mwili mmoja... Umeingia kwa ndoa acha kuwa na mambo mengi tulia, Me mke wangu nina mpango wa kwenda kumuwekea ile ya kunasia😎
 
Na wewe jiwekee
 
As ante Sana, angalau umenielewa.
Pole sana, ni kweli hata kama ni mume wako bado kuna personal privacy unahitaji. Haya mambo yapo, miaka ya nyuma niliwahi kukutana na mtu ambaye alikuwa kama ana pepo ndani yake na ukienda popote pale na kumjadili anafahamu kila kitu ulichomwongelea.

Suluhisho la hili ni kuombewa kwa mtumishi wa Mungu ambaye yupo vizuri. Nadhani kuna kitu anatumia kukuspy na mostly ni jini/pepo.
Inawezekana pia lipo ndani yako.

Fanya ukaombewe itakwisha hiyo. Japo pia baada ya hapo inaweza ikawa mwisho wa ndoa yenu.
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Mumeo ni mshamba,mwambie aache ushamba maana ukitaka kuchepuka utachepuka tu hata afanyeje. Unaweza kuwasiliana na mchepuko wako kwa Barua tu na si simu na mkamalizana na maisha yakaenda.

Mwambie aache usukuma!
 
Back
Top Bottom