Nifanyeje? Naona mtihani huu

Nifanyeje? Naona mtihani huu

solve shida yako babe….dawa ya ubahiri mdo hiyo unless iwe ameamua

au mrudishie be supportive girlfriend
Hiv mipango ndio inaitwaga ubahili?
Au ukiwa na pesa ina maana ndio unazo za kugawa gawa? 😂😂😂.

Nikisema sina pesa haina maana am broke, inawezekana sina pesa za kukupa wewe !
 
Hiv mipango ndio inaitwaga ubahili?
Au ukiwa na pesa ina maana ndio unazo za kugawa gawa? 😂😂😂.

Nikisema sina pesa haina maana am broke, inawezekana sina pesa za kukupa wewe !
😂😂😂😂😂😂😂kwa jinsi alivyoeleza mtoa mada bwana ake ni bahiri
 
lady,try to be abit smart!!kama unadhan amekosea kias chote iko basi wew itafune ndo utajua kuwa maisha ni kulia na kucheka!
😂😂😂😂😂

nina safari ndefu
 
😂😂😂😂😂😂😂kwa jinsi alivyoeleza mtoa mada bwana ake ni bahiri
Kwan nyie mna jema bas? Mnajua sana kukuza mambo ..usikute mshkaji hana noma kabisaa anapambania life yake.
 
Ukiniomba 50000 nikakwambia nina 20000, haimaanishi mfukoni ama kwenye akaunti zangu nina hiyo hiyo 20k, la hasha ila hiyo 20 ndio ambayo inapatikana kiurahisi ama kwa lugha nyingine haipo kwenye bajeti ya muhimu ama ndio katika kufanya manouver kwa umuhimu wako imebidi nikuchomolee hicho kiasi atleast nawe upoze jambo lako.
So hata ukikuta nina milioni 2, jua tu 1.98 ni ina jukumu jingine.
 
Habari za muda huu Wakuu,

Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.

Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ana nitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊

Unashari nifanye nini?
Mtego huo
 
Kwani PGO anasemaje kuhusu kuripoti police baada ya mtu kupotea? Zingatia masaa hayo ya kwenye mwongozo utanishukuru baadae tu.
 
Sijakosea wala nini,hapo nimekutega nione uaminifu wako,

But kitendo cha wewe kuja kuanzisha thd JF kuomba ushauri wa hela iliyozidi kimenihalalishia kua wewe hunifai kabisa,una akili ya kushikiwa,unafanya maamuzi yako kwa utashi wa watu wengine,ni mwepesi wa kudanganyika,huaminiki,

20k ndio hela niliyokua nayo ya kukupa wewe kwa sasa kama nilivyo kuambia, the rest zina kazi zake zingine pia.
 
Hapa ndo jamaa atajua anadate na mpenzi au jambazi
 
Chukua huyo hela, mblock kabisa muweke na blacklist..kama mnakaa mtaa mmoja badilisha njia au hama kabisa. Hii bahati haitajirudia
 
Habari za muda huu Wakuu,

Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.

Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ana nitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊

Unashari nifanye nini?
Kwani wewe ushampa shilng ngp? Kuwa mwaminifu
 
Back
Top Bottom