Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Hiv mipango ndio inaitwaga ubahili?solve shida yako babe….dawa ya ubahiri mdo hiyo unless iwe ameamua
au mrudishie be supportive girlfriend
Au ukiwa na pesa ina maana ndio unazo za kugawa gawa? 😂😂😂.
Nikisema sina pesa haina maana am broke, inawezekana sina pesa za kukupa wewe !