Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Asante sana
 
Sio vizuri kumringanisha mke na mchepuko ila hamna jinsi mzee baba. Hawa wanawake tunaoa wanajisahau sana, mm kuna kipindi mke wangu alishika mimba hakutaka nimguse mpaka alivyojifungua na miezi almost mitatu mbele ndio nikagusa tena.

Nashukuru Mungu aliumba wanawake wengi kweli na akanipa vijisenti vya kuwahonga ili wanipe mbususu, kwaiyo niliendelea na ka utaratibu ka kibaolojia, na hata saizi hanaga kupenda mipapulano namm labda kama kuna kidume au vidume vinanisaidia ila namm nashukuru kweli kuendelea kupata ela za kuchakata hizi mbususu nyingine kwa raha mustarehe.
 
Wanaume wenye ka gegedo kalegevu hawavaagi condom so anavyochepuka ukimwi utakuhusu........kama wewe huchepuki omba talaka' ,kama unachepuka vumilia
Sasa kagegedo kalegevu katapataje ngoma na hakachubuki?
Halafu kama anachepuka avumilie, kama hachepuki aombe talaka, what's the essence here?
 
Inawezekana kwako yeye havutiwi nawe na huko anakochepuka anapiga bao za kutosha.Ombi langu muwe na muda wa kutoka hata week moja hivi mwende hata mbuga za wanyama mkapumzike na kupata muda mzuri wa kutafakari namna bora ya kuboresha mahusiano yenu.
Kwa hichi hichi kipato cha laki tano waende mbuga za wanyama mkuu? Labda washauri wabadirishe godoro wawe weekend wanaenda lodge hata ya 30k
 
Asimamishi zaidi ya dakika 5 na mmepata watoto! Anachepuka, bado unamuhitaji (unamuonea wivu).
Hapa ni pagumu kukuamini usemacho..
 
Kutembea na mwanamke wa mtaan ni fedhea kubw sn kwake,mkewe na familia yake
 
Sahii kabisa, sometimes unalazimika kuchepuka kuepusha migogoro kwny ndoa. Imagine bila mchepuko Kila siku kesi za kunyimwa unyumba na kumbaka mkeo zingekua ngapi[emoji4]
 

DeepPond wewe unaonaje. Tuseme huyu ni dada yako wa damu Unamshaurije 🤔🤔🤔🤔


Mkuu Juandeglo na mama D naombeni mje mumshauri mwanamke mwenzenu uku[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app


Haya mambo nyie yaacheni tuu

Unaweza kuta huko anakochepukia anapiga mzigo masaa2 bila kusinyaa

Mungu akusaidie sana crushed kwa ustawi watoto wako na familia usifanye maamuzi ya hasira. Mwombe Mungu akuonyeshe yale yasiyoonekana na macho ya nyama
 

Kama unajiamini unaweza ishi bila kuitaji mwanaume mwingine, muache lao, lakini kama utaitaji mwanaume tena na hao watoto bora uishi naye.

Si jambo jepesi kabisa kwa single mothers ku manage, wanaweza wasikuambia, na pia kama wewe unayosema ni kweli, sioni namna huyo mume wako atabadilika.

Jaribu pia kuomba Mungu, it sometimes sounds like an old school, but mwombe Mungu hekima kwa maneno mepesi kabisa.
 
Dada kwanza pole sana. Nikwambie kama.anachepuka sana basi mwanaume wako hata tatizo la nguvu za kiume, ni mzima kabida ila yeye ndo hana hisia na wewe.
Hii kitu inatokeaga kwa wanawake hasa wake zetu.
 
Kutembea na mwanamke wa mtaan ni fedhea kubw sn kwake,mkewe na familia yake
Ni fedheha kubwa sana yaani anaiacha familia yake uchi. Na wanawake wa mitaani wasivyo na siri watakuwa wanamsema sana dada wa wa watu kwa ujinga wa mume.

Ila nimeamini JF bado kuna watoto wengi sana kiumri au eidha umri mkubwa lakini akili ndogo. Mtu mzima kabisa anauliza "kama anaenda dakika 5 hao watoto wawili umewapataje??

Serious kabisa kwani inahitaji dakika ngapi ili mimba itunge? Kisayansi hata yale majimaji ya uume kabla ya kumwaga yanatosha kabisa kutungisha mimba.

Mimba inatungwa hata kama mmesex kwa dakika moja akamwaga as long as shahawa zake zina nguvu ya kutungisha.Haihitajiki nusu saa au dk 45 kutungisha mimba hata sekunde 30 inatosha kabisa.

Watu tungejikita kujifunza mambo mbalimbali instead of umbea, matusi na mapambio humu JF tungekuwa mbali sana. Ndio maana tunaitwa vijana wa hovyo.
 
Kwa jinsi ulivyoandika hapo huyo huna hisia nae kwa Sababu ya uchepukaji wake na so Sababu ya kutosimamisha kwake!Hakika wewe Ni make wa baraka miaka sita na huyo asiyesimamisha mwingine angeshaupiga mwingi Sana huko nje
 
Wanawake hamjaubiwa kuchepuka, hayo ndo madhara yake. Mkichepuka huwa mnazama mazima na uliyekuwa naye huwezi kumpenda tena.

Shida zote ulizoandika kuhusu mmeo ni za uongo. Hapa unafanya justification ya kumbwaga mmeo.

Maamuzi tiyari unayo kichwani mwako sisi hatuna cha kukushauri. Kuwa single mother.
 
Muombee tu mungu abadilike hiyo tabia kama still bado unampenda lakin kama humpend mmh...!!
 
Wanaume wasokua na nguvu za kiume wanaongoza kuchepuka ..wanaona ndo kuonekana kidume kumbe angezitunza hizo nguvu zake mbili amridhishe mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…