Nifanyeje sina hisia nae kabisa

Wanaume vibamia,single goal,dhaifu na goigoiii wanaongoza kuchepuka maana wanahisi wakifanya hivo wanaficha madhaifu yao!!!!
 
Dah! Pole Sana aisee,
Suluhisho sio nawe kuchepuka,
Hakuna mwanamke anasifiwa uzinzi,
Utajiharibia na kuachika kabisa kwny ndoa yako

Uyo mumeo,mkalishe chini,
Kaa ongea nae vizur tatzo nn,anataka afanyiwe nn ili aweze kuenjoy tendo.

Nnachoamini
Mwanaume Huwez kua na tatzo la nguvu za kiume, ukawa na guts za kuchepuka nje, uko nje utaaibika zaidi na kutangaziwa Siri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hana shida ya nguvu za kiume ni mchepukaji,kwahiyo akirudi nyumbani anakuwa hana nguvu tena,atawezaje kuwa mchepukaji na hana nguvu za kiume...?
Hili pia nmejiuliza Sana,
Kinachoonekana mumewe kawekeza Sana Kupiga nje, ndani kapasahau.

Huenda mtoa mada hajabarikiwa kunako 6x6, wanawake Hii sekta wametofautiana Sana uwezo[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kaka mkubwa
 
Hapo usikute tatizo la kuchepuka limeanzia kwa rafiki zake na mumeo,

Walimshaur akajaribu kutest mitambo nje aone Hali uko nako itakuaje,

Sasa muneo katest kakutana na wanawake mafundi type za kina mamaJ,

Yaan mumewe kanogewa hata kile kidg alichokua anafaidi ndani kanyang'anywa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Maelezo yako navyoona yeye ndiyo hana hisia na wewe na alishajua hilo ndiyo maana anachepuka ,kagundua akiwa na wewe "Mashine" haisimami ila akienda nje "Mandonga Mtu kazi Show Show".
Tokea ananiapproach, hadi ndoa inamaana hajawah kiwa na hisia na mimi? Halaf vipi alivyo anza kusimamisha hata kwa dakika chache hizo hakuwa na hisia na mm? Maana nlikuta mnara hausomi kabisa, huwa anadai halali nao anajifurahisha tu lakini hainiingii akilini mwanaume kuchepuka halaf asilale nao
 
Hakuna huyo mume unayemtafuta asiyechepuka, ila tatizo ni kwamba mumeo baada ya kupona kaamua kutembeza fimbo kilimbukeni zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna kuchepuka kwamba umekutana na mtu unayempenda kiukweli so inabidi tu uchepuke naye maana huwezi kumwoa tena bcoz una familia tayari, na mara nyingi unakuwa na mahusiano na huyo mmoja tu zaidi ya mkeo.

  • Mara nyingi huu uhusiano huwa mgumu kufa labda mchepuko uamue wenyewe kujichenga na mwanaume hutulia na mchepuko wake mmoja tu unaomliwaza.

Kuna kuchepuka kwamba wewe ni mbovu wa wanawake wa aina fulani mfano wenye "mizigo" πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba wewe shida yako ni uwavue tu ch**i zao uone walichopewa na mama zao.
  • Huyu mtu huwa anatulia tu anapopigika kiuchumi ila akizipata yeye kama kawa hata akiwa mzee πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu kuna kuchepuka huko kwa mumeo kwamba ni tabia yake kwamba chochote kipitacho mbele ye twende yaani huyu ni "fisi" yaani anaweza kubadili uelekeo wa safari yake kisa kufuatilia mzoga aliopishana nao πŸ˜‚πŸ˜‚.
  • Huyu huwa hanaga michepuko permanent, yaani unaweza kuta anajisahau mpaka kutongoza upya mzoga wake badala ya kuomba kupasha kiporo tu πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ

Halafu kuna kule kuchepuka kwa "emergency" yaani upo safarini mara unakutana tu mtu kwenye basi au treni mkifika safari yenu mnadangiana halafu kila mtu na 50 zake, au mpo pamoja kazini au kwenye kisherehe fulani mara masihara yanazidi kimatanimatani tu mara "pwaah!" πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani hizi zinaitwa "loose balls" au "mipira iliyokufa"πŸ˜‚πŸ˜‚.. Ila hizi hazitokeagi mara kwa mara na hazinaga formula...
  • Hapa hakunaga uhusiano wala mawasiliano ya kudumu unless shoo iwe imeeleweka, na ikija kuzaa ndoa ndo hizi ambazo hata mwezi hazijafika watu wanapeana talaka πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa huyo mumeo ni "fisi" ambao kuacha au kupunguza tu hiyo kitu ni ngumu kweli kweli, yaani hapo we uamue moja tu kati ya kuendelea kumvumilia mlee watoto huku ukiendelea kumwombea hilo pepo limtoke.... au uanze maisha mapya ambayo unayaogopa maana kuanza upya kazi ukihesabu miaka na hisia ambayo umeshawekeza kwenye huo uhusiano wenu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida siyo kunjunjana shida ni nimpende tena kama mwanzo yaan ile doa aliloliweka la kunisaliti liishe
 
Huyo ni limbukeni wa Papuchi hilo tatizo inaelekea lilimtesa sana kwenye balehe yake ni sawa na kipofu aliyepona cha msingi ni kuachana nae hakuna usalama tena hapo maradhi ni mengi
 
Wanaume vibamia,single goal,dhaifu na goigoiii wanaongoza kuchepuka maana wanahisi wakifanya hivo wanaficha madhaifu yao!!!!
Sio kweli aisee,
Huwez kua huna nguvu za kiume ukachepuka sana nakuapia mkuu.

Hamna kitu kinashusha heshima Kama kupiga show mbovu, zile feelings zakumpaka shombo mwanamke zinakata sana nyege za kufanya nae Mara kwa mara. Automatically akikuhitaji utamkwepa maana hujiamini[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ... Sada na wewe sii utafute wakukupoza minyege jamani.
 
Kuna mwanamke ukiwa nae mashine inakosa hamu alafu kuna mwanamke ukiwa nae kila wakati unataka uwe unamtia tu so emu jaribu kutofauti yeye yupo kwenye kundi lipi?
Hajanikuta bikra hvyo najijua niko vzuri yeye tu ndo aliamua kuchepuka na sikutegemea kwa hali yake kama atafanya hvyo, kwahyo usiseme kwamba simvutii au labda siko vzuri, kwanza kanifanya niwe na style moja maana ukiweka style nyingine inalala sekunde zero kwahyo mnakuwa na style moja ili msogeze dakika
 
Nnachokiona kwa mumeo,
Sio kwamba ana tatizo la nguvu za kiume
Mumeo Yuko fit, coz anaweza kukitembeza nje

Sema mazingira yako wewe mkewe huenda hayako vizur sn kumhamasisha kulipenda na kufurahia lile tendo.

Tukubaliane tukatae,
Wanawake mmetofautiana Sana uwezo kitandani, na huu ndo ukweli KE wengi hawataki kuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…