Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Ha
Kwanza wanajitambua yaani wana uelewa mzuri ukitoa mambo ya shule?

Ikiwa jibu ni ndio waelekeze katika vipawa vyao zaidi .

Mfano ikiwa hawapati A Ila pia hawapiati D basi hao wako vizuri.

Mimi Kama Mwalimu natoa ushauri kuwa tumia mbinu za kuwajengea mentality ya ushindi kuanzia ndani yao. Hii waweza tumia subconscious mind.

Usitumie nguvu kubwa mfano viboko nk hizo mbinu hazisaidii chochote.

Mtoto mjenge taratibu kwa kumtia moyo na hata akipata marks ndogo wewe mtie moyo
Ya ndo majibu sasa lete na mengine
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Hakikisha unaongeza ulaji wa samaki na maziwa.
 
Kwanza wanajitambua yaani wana uelewa mzuri ukitoa mambo ya shule?

Ikiwa jibu ni ndio waelekeze katika vipawa vyao zaidi .

Mfano ikiwa hawapati A Ila pia hawapiati D basi hao wako vizuri.

Mimi Kama Mwalimu natoa ushauri kuwa tumia mbinu za kuwajengea mentality ya ushindi kuanzia ndani yao. Hii waweza tumia subconscious mind.

Usitumie nguvu kubwa mfano viboko nk hizo mbinu hazisaidii chochote.

Mtoto mjenge taratibu kwa kumtia moyo na hata akipata marks ndogo wewe mtie moyo
Uko sahihi 100%. Mimi baba yangu hakuwahi kunichapa hata ningekuwa karibu wa mwisho. Wala hajawahi kunigombeza kisa sijafanya vizuri darasani. Sema baadae nilikuja kumshtukia huwa anamalizia hasira zake kwenye makosa mengine yasiyohusiana na darasani. Yaani kipigo chake anaunganisha mambo yote.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Mjengee mazingira mazuri hakikisha vitu vinavyo mzunguka vinamchochea kusoma na kuwa mdadisi. Mweke mbali sana na mitandao ya jamii na asimiliki smart phones mpaka aingie chuo. Ila nyumbani unaweza mnunulia Computer ila jitahidi ulilock zile application za nudity na mitandao ya ajabu ajabu au hakikisha hiyo computer haina access ya internet, download tutorials au course mbalimbali online pamoja na vitabu soft copy na hata unaweza kuweka game chache kwa ajili ya kurefresh mind, mnunulie vitabu hata na ww mwenyewe jijengee mazoea ya kusoma vitabu ,akiona atajifunza kupitia ww.

Mazingira na watu wanao mzunguka yanamshepu vizuri tu,ila yote kwa yote mweke mbali sana na mitandao ya jamii na internet.
 
Hii ndo dawa ya matatizo yote duniani Pesa , elimu na Afya
Hakika dr naningumu sana mtu kukuelewa kwakua watu huhitaji kutozwa gharama nyingi sana katika mambo yanayo weza kuwaletea maendeleo.
Hivyo leo ukimweleza mtu kwamba meditation ni zaidi ya vyote hivo hakuelewi.
 
Ugali ni ugali tu.. hakuna cha sembe wala dona. Ni chakula kisicho na faida yoyote. Ni kama kuweka jiwe tumboni. Hata kwenye biblia walikuwa wanakula mikate na sio ugali.
Unaleta hekaya sasa. mkate wa kukoboa hauna faida yoyote mwilini kama unakula white bread ni unafurahisha tumbo. kula brown bread. unapata fibre bwana mdogo.

West Africans wanakula ugali 'fufu' unawapata kwa akili? ishu sio ugali au mkate. unakula chakula kimeandaliwaje na kina nini ndani yake? hata mboga za majani ukizipika sana unaua viini lishe, unabaki kula makapi.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Kazi ya shule sio ku inject akili kwa watoto bali ni ku wa train mind zao ziweze kufikiria, students should learn to think in a rational way using the facts they learn from schools and books.

Hakuna shule Duniani inawawekea akili wanafunzi
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Na nani kakuambia huko English medium ni vituo vya kuwafanya watoto wawe na akili ni nani?
 
Back
Top Bottom