Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hivi kuwa na elimu ya juu ni kipimo cha akili nyingi? Binafsi sidhaniTungejua kwanza elimu yako na ya mama yao tungekuwa katika nafasi nzuri ya kukushauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuwa na elimu ya juu ni kipimo cha akili nyingi? Binafsi sidhaniTungejua kwanza elimu yako na ya mama yao tungekuwa katika nafasi nzuri ya kukushauri.
Mkuu yote yanachangia ila kwenye zile peformance za juu ni lazma mtoto awe karithi kwa mzazi.Akili ya darsani inategemea mazingira ya nje zaidi na sio inborn.
Sizitaki mbichi hizi. Wewe andika magazeti yako lakini ukweli ni kwamba hata wewe mwenyewe hauwezi kumpeleka mwanao shule ya kata wakati unao uwezo wa kumpeleka FEZA.Nini maana ya akili? tuna kwama sana, Akili kila mtu anazaliwa nazo, hakuna kituo wala shule ya ku inject akili kwa watoto, pale shuleni ni vituo vya kuwafanya zile mind zao sasa au akili walizo nazo ziweze kufikiria vitu, mfano, kwa nini atupe jiwe juu then irudi chini, kwa nini Maeneo yasio kuwa na miti. mingi au misitu hayapati mvua nyingi,
Nyie mnaingizwa chaka na zile A na mtoto kuongea Kingereza kwamba ndio akili? A haiwezi kuwa akili. Ndio maana Vyuo vikuu wamejaa wasomi ambao hawawezi unda hata mashine ya kutengenezea misumari, sabanu ni mawazo kama haya.
TrueAkili ya darsani inategemea mazingira ya nje zaidi na sio inborn.
Issue sio elimu ila performance yake ilikuwaje?Tungejua kwanza elimu yako na ya mama yao tungekuwa katika nafasi nzuri ya kukushauri.
Mkuu kwamba unataka kusema malezi ya kitaalamu ya mtoto anayopata english medium na sawa na anayopata wa shule za kata?
Kama sio kipimo basi kila mtu angekuwa na degree ya UDSM.Hivi kuwa na elimu ya juu ni kipimo cha akili nyingi? Binafsi sidhani
OPTulikosea tangu mwanzo kuwa na elimu ya kuoata A na Division na kukaririshwa past paper mwanzo mwisho.
Tukaachana na kuwa tuna tuna shughurisha akili zetu ziwaze beyond vile vitabu. So tuka stick kwenye vile vile vitabu, types or rocks, Nile river, na kadhalika.
Degree za UDSM nimefanyaje?Kama sio kipimo basi kila mtu angekuwa na degree ya UDSM.
Sio kipimo mkuu, ina maana waliokosa fursa ya kusoma hawana akili?Kama sio kipimo basi kila mtu angekuwa na degree ya UDSM.
Imekuwaje siku hizi wewe service girlWanarithi kwa baba na mama
Kama nyie ni vilaza msahau watoto wenu kua na akili nyingi![]()
KivipiImekuwaje siku hizi wewe service girl