KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 360
- 351
- Thread starter
- #21
Ha
Ya ndo majibu sasa lete na mengineKwanza wanajitambua yaani wana uelewa mzuri ukitoa mambo ya shule?
Ikiwa jibu ni ndio waelekeze katika vipawa vyao zaidi .
Mfano ikiwa hawapati A Ila pia hawapiati D basi hao wako vizuri.
Mimi Kama Mwalimu natoa ushauri kuwa tumia mbinu za kuwajengea mentality ya ushindi kuanzia ndani yao. Hii waweza tumia subconscious mind.
Usitumie nguvu kubwa mfano viboko nk hizo mbinu hazisaidii chochote.
Mtoto mjenge taratibu kwa kumtia moyo na hata akipata marks ndogo wewe mtie moyo