Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Mkuu tutake radhi. Warembi wengi huku hujapata nafasi ya kukutana nasi live tu.
 
Haya mapenzi bhana yaani mtu unapenda ID tu bila kumuona?
 
achen maneno kila mtu aonyshe ushaid ili na ss tuwe na la kusema

Kama unataka kuujua ' Unyange / Urembo ' wa ' Kutukuka ' wa ' Shemela ' Nifah watazame kwa umakini wako wote akina Beyonce Knowles au Jennifer Lopez kwani ama anafanana nao au basi Yeye ( Nifah ) anawazidi hao na pengine Wao wanamzidi kwakuwa tu wapo Mbinguni ( Ulaya ) na Yeye yupo Kaburini ( Africa )
 
Hahahahaha Aisee una maneno wewe.
 
Mimi sio Muha but ni mbishi kwelikweli. We kachukue mpaka vifaru but sitarudi nyuma.

Waroma wanasema, you can't survive without competition.
So don't think that you're save to that extent[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Mrembo au charming?
Yote mimi namjua kwa sura na tabia, hata wewe siku ukipata bahati ya kumuona hutokua na shaka juu ya urembo wake, labda tu akili yako iendane na Kipozeo kwenye kuangalia uzuri wa mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…