GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali mkuu wengine tunaweza kuwa ma miss East Africa humu.
Mmmmmmmm.....haya bhana sitii tena neno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali mkuu wengine tunaweza kuwa ma miss East Africa humu.
Mkuu tutake radhi. Warembi wengi huku hujapata nafasi ya kukutana nasi live tu.Kwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' kisha tuje tukuokote Mahaba beach.
achen maneno kila mtu aonyshe ushaid ili na ss tuwe na la kusema
Mkuu tutake radhi. Warembi wengi huku hujapata nafasi ya kukutana nasi live tu.
Braza tabia gani hii aiseeanavigimbi huyo hatari
mwembamba mpaka mkoba wake ameujaza mawe upepo ukija asipeperuke
jk
Kwa kuwa nilikubebea mkaa wako sitabisha.Tena Wewe ndiyo unaonyesha ni ' Gari ya Mkaa ' iliyotukuka kabisa.
Hahahaa.. Thanks and it is still Friday..Kwa kuwa nilikubebea mkaa wako sitabisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]anavigimbi huyo hatari
mwembamba mpaka mkoba wake ameujaza mawe upepo ukija asipeperuke
jk
Hahahahaha Aisee una maneno wewe.Kwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' halafu tuje tukuokote Mahaba beach.
Hahahaaa!Mwanaume wa Dar ndo keshatongoza hapo... Hahahaa.... Anajiliiiza na samahani nyiingi.
Shemeji kweli mwenye nacho huongezewa.Hahahaaaaaa jamaniiiiii!
Mimi sio Muha but ni mbishi kwelikweli. We kachukue mpaka vifaru but sitarudi nyuma.Aisee!! Sijui nikupe pole au nisemeje... Nadhani labda ni sahihi zaidi nikikupa hongera kwa hatimaye kujitutumua na kutoa kilichopo moyoni... Ndio uanaume
Nifah ni mwanamke wa kipekee kwa hiyo sishangai kwanini aliuteka moyo wako bila hata ya yeye mwenyewe kujua! Ni mwanamke ambaye kama mwanaume unajivunia kuwa naye na hata ukiwa kwenye hadhara lazima 'uvimbe' coz yuko ubavuni kwako...
So, no hard feelings here ndugu yangu! Nimeelewa... Ila nikukumbushe tu kuwa last month nilikuwa kwa Kamanda Sirro pale nimetoka ku-renew kibali cha kumiliki silaha... Kwa hiyo watch it, not to that extent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yote mimi namjua kwa sura na tabia, hata wewe siku ukipata bahati ya kumuona hutokua na shaka juu ya urembo wake, labda tu akili yako iendane na Kipozeo kwenye kuangalia uzuri wa mwanamke.Mrembo au charming?