Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Niffah; msema kweli mpenzi wa Mungu

Kwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' kisha tuje tukuokote Mahaba beach.
Mkuu tutake radhi. Warembi wengi huku hujapata nafasi ya kukutana nasi live tu.
 
Haya mapenzi bhana yaani mtu unapenda ID tu bila kumuona?
 
achen maneno kila mtu aonyshe ushaid ili na ss tuwe na la kusema

Kama unataka kuujua ' Unyange / Urembo ' wa ' Kutukuka ' wa ' Shemela ' Nifah watazame kwa umakini wako wote akina Beyonce Knowles au Jennifer Lopez kwani ama anafanana nao au basi Yeye ( Nifah ) anawazidi hao na pengine Wao wanamzidi kwakuwa tu wapo Mbinguni ( Ulaya ) na Yeye yupo Kaburini ( Africa )
 
Kwa ' Shemela ' la Kilimanjaro Nifah huyo uliyemtaja ' anasubiri ' Mkuu. Ukiona Kitu hadi GENTAMYCINE anakisifia basi jua hata kwa Mwenyezi Mungu kimeshapitishwa na kubarikiwa. JF Mwanamke ' Mnyange / Mrembo ' ni Nifah peke yake na waliobaki ni ' Makatuni ' tupu hutaki ' Kajiteke ' mwenyewe Ununio kisha ' Jitese ' halafu tuje tukuokote Mahaba beach.
Hahahahaha Aisee una maneno wewe.
 
Aisee!! Sijui nikupe pole au nisemeje... Nadhani labda ni sahihi zaidi nikikupa hongera kwa hatimaye kujitutumua na kutoa kilichopo moyoni... Ndio uanaume

Nifah ni mwanamke wa kipekee kwa hiyo sishangai kwanini aliuteka moyo wako bila hata ya yeye mwenyewe kujua! Ni mwanamke ambaye kama mwanaume unajivunia kuwa naye na hata ukiwa kwenye hadhara lazima 'uvimbe' coz yuko ubavuni kwako...

So, no hard feelings here ndugu yangu! Nimeelewa... Ila nikukumbushe tu kuwa last month nilikuwa kwa Kamanda Sirro pale nimetoka ku-renew kibali cha kumiliki silaha... Kwa hiyo watch it, not to that extent [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi sio Muha but ni mbishi kwelikweli. We kachukue mpaka vifaru but sitarudi nyuma.

Waroma wanasema, you can't survive without competition.
So don't think that you're save to that extent[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Mrembo au charming?
Yote mimi namjua kwa sura na tabia, hata wewe siku ukipata bahati ya kumuona hutokua na shaka juu ya urembo wake, labda tu akili yako iendane na Kipozeo kwenye kuangalia uzuri wa mwanamke.
 
Back
Top Bottom