Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo

Kumbe mpumbavu tu. Unatafuta sifa kwenye matatizo?. Mimi nilijua anachangisha ni utaratibu wa eneo lake pale kariakoo?. Kumbe yeye kakimbilia tu kisifa?. Halafu eti anafurahi kutajwa na waziri mkuu. Ndio ndoto yake. Kuna mijitu mipumbavu duniani. Halafu mbona kakimbilia haraka sana kuanza kuchangisha?. Hamna mtu hapo
 
Huyu dada alikwishalalamikiwa sana na wafanya biashara wa Kariakoo kwa kuwharibia biashara zao.

Ni wakati sasa TRA waruke naye kuangalia kama analipa kodi ya mapato

Aliwaaribiaje?
Mbona wengi wao walimcopi na kufata njia anayotumia kuuza na kufata mzigo nje ya nchi.

Wivu kitu kibaya sana lam amtu Hana akili ya kujiongeza kama aliye leta majanga halafu wanauza vitu nyumbani kwake na kodi halipi yaani resti.
 
Acheni wivu. Mbona wewe hutajiriki harakaharaka kwa huo ujanja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kosa lake ni moja tu hajamshilikisha steve nyerere hayo mambo yananamna yake na yanazungumzika..
 
Aliwaaribiaje?
Mbona wengi wao walimcopi na kufata njia anayotumia kuuza na kufata mzigo nje ya nchi.

Wivu kitu kibaya sana lam amtu Hana akili ya kujiongeza kama aliye leta majanga halafu wanauza vitu nyumbani kwake na kodi halipi yaani resti.
Kwani yeye ndy wa kwanza kufata mzig nje ya nchi 😄

Ova
 
Ujanja mwingi huwa unaambatana na ujinga mwingi, maana hata hapo majibu yake yanasadifu, angeomba tuu radhi kwa mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…