KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
leta picha acha manenoNi binti mwenye sura nzuri na bonge la tako. Ana shepu inayoweza kumfanya shetani kuwa mfuasi wa Mwamposa kwa hiari. Kajaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leta picha acha manenoNi binti mwenye sura nzuri na bonge la tako. Ana shepu inayoweza kumfanya shetani kuwa mfuasi wa Mwamposa kwa hiari. Kajaliwa.
Wabongo kwa roho mbayaHuyu dada alikwishalalamikiwa sana na wafanya biashara wa Kariakoo kwa kuwharibia biashara zao.
Ni wakati sasa TRA waruke naye kuangalia kama analipa kodi ya mapato
Ni mchepuko WA piemu na arasii WA darKwani huyo nifa ana wadhifa gani maana wengi naamini hatumfahamu mwenye CV yake Tafadhali.
Na sababu kubwa ya resty kukazia ni hiyo.Huyu dada alikwishalalamikiwa sana na wafanya biashara wa Kariakoo kwa kuwharibia biashara zao.
Ni wakati sasa TRA waruke naye kuangalia kama analipa kodi ya mapato
MmhNasikia ana tako ni balaa.
Huyu dada alikwishalalamikiwa sana na wafanya biashara wa Kariakoo kwa kuwharibia biashara zao.
Ni wakati sasa TRA waruke naye kuangalia kama analipa kodi ya mapato
Acheni wivu. Mbona wewe hutajiriki harakaharaka kwa huo ujanja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Niffer ni mjanja sana kwenye mambo ya pesa ndio maana anatajirika haraka haraka
Hela za michango ya wahanga. Zinatumwa kwenye Lipa namba zenye jina lake.
Halafu idadi ya waliotuma pesa haijulikani. Majina yao na kiasi walichotuma hakiwekwi wazi. Yaani Hakuna Auditor
Kwa jinsi wa Tanzania walivyo wajinga. Huyu dada angepata mtaji mkubwa sana wa biashara zake kupitia hiyo michango.
Kwenye page yake ana wafuasi milioni moja na nusu. Imagine wafuasi Laki 5 tu. Wakituma shilingi elfu moja moja kila mmoja.. Niffer anakusanya milioni 500 fasta fasta.
Hapo anapeleka kwa wahanga milioni 200 kisha 300 anazibana.
Hakuna atakaye gundua
Wee fursa furusana hiyo..!aanzishe foundation kwa ajili ya kuchangisha tu kwenye matukio, au sijamuelewa Jeni
Kosa lake ni moja tu hajamshilikisha steve nyerere hayo mambo yananamna yake na yanazungumzika..Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya kuporomoka kwa gorofa la Kariakoo.
Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Kupitia majibu yake yaliyojaa shukrani na kueleza nia njema, Niffer amesema:
"Kwanza kabisa, Alhamdulillah, namshukuru sana Allah kwa kunipa nafasi ya kuiona siku ya leo. Kwa kweli, ni jambo kubwa sana kwangu kuona Waziri Mkuu wa nchi yangu ametaja jina langu mbele ya hadhara ya watu mashuhuri. Hii ni ndoto kubwa iliyotimia kwa ulimwengu wa roho."
Niffer ameeleza kuwa nia yake kuu ilikuwa kusaidia wahanga wa ajali hiyo, akisisitiza kuwa hakujua sheria zinazohusiana na uchangishaji wa fedha kwa ajili ya mafaa kama hayo. Ameeleza:
"Nilikuwa tayari tangu mwanzo kutoa ushirikiano kwa Serikali na jamii kwa ujumla. Niliomba muongozo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa kabla ya kuanza zoezi hili. Ninaamini nia yangu haikuwa mbaya, na kupitia changamoto hii, nimeona umuhimu wa kuwa na taasisi inayotambulika rasmi, Niffer Foundation."
Waziri Mkuu Majaliwa, wakati akizungumza eneo la Kariakoo, alisisitiza kuwa hakuna mtu anayepaswa kuchangisha fedha bila kibali maalum kutoka serikalini na akatoa agizo kwamba Niffer atafutwe ili aeleze ni nani aliyempa mamlaka hiyo.
Soma, Pia: Jeshi la polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya agizo hilo, taarifa zilitolewa kuwa Niffer ameshapatikana na yuko tayari kushirikiana na mamlaka husika.
Acha upumbavu. Google.leta picha acha maneno
Kwani yeye ndy wa kwanza kufata mzig nje ya nchi 😄Aliwaaribiaje?
Mbona wengi wao walimcopi na kufata njia anayotumia kuuza na kufata mzigo nje ya nchi.
Wivu kitu kibaya sana lam amtu Hana akili ya kujiongeza kama aliye leta majanga halafu wanauza vitu nyumbani kwake na kodi halipi yaani resti.
Wewe umechangia sh ngapi ? Hata kwa kufuata taratibu chini ya ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa ?Chizi huyo wamfundishe adabu anaaibisha kitengo cha maafa
Ujanja mwingi huwa unaambatana na ujinga mwingi, maana hata hapo majibu yake yanasadifu, angeomba tuu radhi kwa mtazamo wangu.Niffer ni mjanja sana kwenye mambo ya pesa ndio maana anatajirika haraka haraka