Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer kwani ni muhaya ?

Siyo kwamba ni mchaga
 
Wanawake ni rahisi sana kufanikiwa,kitu muhimu ukamie.Huyo dada kasisitiza watu waache kufuatilia maisha ya WATU.Hapo aliposisitiza,ndiyo pa muhimu.Wolper,Aunt Ezekiel,Wema,Irene Uwoya n.k,ukiwauliza wanafanya nini mjini,watakwambia wanapambana ila sasa..
Biashara ukiwa na juhudi lazima ufanikiwe, wanaolalamika biashara ngumu hao wazembe.

Me nilikua tu na wazo la biashara, sikua hata na mia lakini nikaweka juhudi hatimaye namiliki biashara kadhaa za mamilioni hapa mjini.
 
Kama alidanga sisi tutajuaje? Aache kuwananga wanwake wenzake; kila mtu ana njia yake ya kufanikiwa kimaisha.
 
Nakazia
 
Wewe mpk mzee wa vikao nae ana basha wake?![emoji134][emoji134]
Bas hataree, wanaume wanaisha tutakazwa na kina nani sasa?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mzee wa vikao, ndo konkodii mwenyeweee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…