Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Watanganyika wengi wanapenda kusikia mtu anateseka kuliko mazuri yake. Huu ndo uchawi wenyewe.

Kama kahongwa au anajiuza wengine wanafeli wapi?
Ni watu wenye roho za uchungu,Wema na Irene Uwoya wanawadiss kila siku hawaana akili anahongwa anashindwa kufanya maendeleo...katokea mwenye akili anafanya maendeleo wanadiss tena!
 

Basi Binti ana uthubutu sana na mpambanaji ila isiwe kama "mtaji wa elfu 10" wa Shamim Zeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…