tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mimi nlianza kuuza nyanya moja leo na magenge 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa waliosoma chile ndio wataelewa hiiKwenye kila mafanikio kuna uchafu Fulani hufunikwa na kaniki nyeusi tii usionekane
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikasikiliza kanaongea kanaonekana kako smart upstairs, yaani sio zero brain kama kina mwafulani. Mengine watajuana yeye na Mungu wake.Uyu dem aligonga one ya saba fom 6 combi hkl sijui
Appreciate [emoji91]
SahihiKwenye kila mafanikio kuna uchafu Fulani hufunikwa na kaniki nyeusi tii usionekane
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Heshima kwako Mkuu kwa kauli hii. Huko mitandaoni kuna voice note ya niffer inatrend kuwa analiwa newmer ili ajaze duka. Wenye mafaili zaidi wataelezea akina cocasticKwenye kila mafanikio kuna uchafu Fulani hufunikwa na kaniki nyeusi tii usionekane
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa waliosoma chile ndio wataelewa hiiView attachment 2677683
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nlianza kuuza nyanya moja leo na magenge 90
Hapo kati
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa akiwa na umri mdogo.
Niffer ambaye ametimiza miaka 24 mwaka huu, amesema safari yake ya kuutwaa utajiri haikuwa rahisi kama watu wanavyodhani, amesema yeye ni miongoni mwa watu waliotokea katika familia za kimasikini ambazo asubuhi unalazimika kula maembe badala ya kunywa chai, mrembo huyo amesema amewahi kwenda shule bila viatu, amewahi kupigwa kisa tu kukosa sabuni ya kufulia sare zake za shule, lakini pia alikuwa akimuona mama yake namna alivyokuwa anawahangaikia ili wapate chochote kitu na wakati mwingine alikosa kabisa, amesema hiyo ndiyo ilimpa chachu ya kuyasaka mafanikio kwa udi na uvumba ili asipite walimopita familia yake.
Kama ulikuwa unadhani mtaji wa duka kubwa la Niffer "Niffer Outfitstore" lilianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, mpambaji huyo amesema hakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, amesema alianza na elfu 40 pekee na haijamchukua muda mrefu tayari amekuwa tajiri kwa mtaji huo mdogo wa nyanya chungu na vitunguu.
Siri kubwa ya mafanikio ya Mwanaharakati huyo wa maisha amesema ni kuwa na nidhamu na pesa, kuwa na marafiki wa kukujenga, kumuomba Mungu huku ukifanya kazi, kwani yeye wakati anajitafuta alikuwa anafanya biashara hadi saa nane, saa tisa za usiku wa manane. Muhaya huyo wa Bukoba amesema watu wanamshangaa kwa kuwa na duka kubwa akiwa na miaka 24 kwasababu hawajui namna alivyopambana kwa bidii kuyasaka mafanikio.
Amemalizia kwa kuwashauri wasichana wenye umri mdogo na wanawake ambao umri umeenda na bado wanahaha kutafuta maisha kwamba wafanye kazi kwa bidii, waache kubwabwaja mitandaoni kufatilia maisha ya watu na badala yake wautumie huo muda wauze hata pilipiii mbuzi watafika alipofika yeye.
Aisee🤣😆🤔Ni kweli yani, mi nilianza na vocha ya jero tu ila sasa nina maduka matatu ya iphone mjini😀! Biashara ni imani tu jamani tusikate tamaa.
Mbona alianza na pesa nyingi sana. Mimi nilianza na Elfu Mbili tuMange anasemaje msemaji wa maisha ya watu
Hahaha kweli aisee.Ni kweli yani, mi nilianza na vocha ya jero tu ila sasa nina maduka matatu ya iphone mjini😀! Biashara ni imani tu jamani tusikate tamaa.
Hata akina Uwoya walianza na Elfu 15.Inawezekana kwa wanomfuatilia huyu dogo ni mpambanaji sana anauza online zaidi na kila muda yupo anapost bidhaa tofautitofauti hana bidhaa za aina fulani kila kitu anauza..
Iache ina wenyewe.Mambo ya daslamu hayo..
Biashara ya hivi wamefanya sana hadi akina Elizabeth Michael akina Kajala na akina Mobeto na kina Masogange pia.Inawezekana kwa wanomfuatilia huyu dogo ni mpambanaji sana anauza online zaidi na kila muda yupo anapost bidhaa tofautitofauti hana bidhaa za aina fulani kila kitu anauza..