Yes,Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!
Inasikitisha sanaKuna wajinga walitoa pesa wakitegemea watapewa Shukran
Matahila π π π
Nchi hii hata ukifunga bao kwa bed ushindi ni wa ............ period ππ
Et kura moja 2800 nilikua nawangalia naseme (hiiiii )
Sijui wanalalamika nini hivi hawajiulizi zile vocha kwa Niffer zilikua zinatokea wapiInasikitisha sana
shes mbona uite wenzio matahila?Kuna wajinga walitoa pesa wakitegemea watapewa Shukran
Matahila π π π
Nchi hii hata ukifunga bao kwa bed ushindi ni wa ............ period ππ
Et kura moja 2800 nilikua nawangalia naseme (hiiiii )
Nimependashes mbona uite wenzio matahila?
vizuriNimependa
Unaweza pia kuchagua jina la kuwapa jukwa huru hilivizuri
whoUnaweza pia kuchagua jina la kuwapa jukwa huru hili
Watanzania wengi wana IQ ya kiwango cha chini ya 75Kuna wajinga walitoa pesa wakitegemea watapewa Shukran
Matahila π π π
Nchi hii hata ukifunga bao kwa bed ushindi ni wa ............ period ππ
Et kura moja 2800 nilikua nawangalia naseme (hiiiii )
Inasikitisha sana π’Watanzania wengi wana IQ ya kiwango cha chini ya 75
Aibu utaona wewe πAiseeeee hasara kwa Taifa
Mitano tena kwa mama.Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!
Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport na kutoa shukran zake kwa serikali na Samia kwenye ushindi wake, lakini sasa amshukuru nani? Si ndo hao mmesikia wametoa hela wenyewe mkaona Niffer ako na mapenzi ya kutoa pesa zake mfukoni! Mitano tena kwa Samia?
Soma Pia: Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan
Sasa wale mmetoa afmbili zenu itakuwaje? Haya turudi kwenye maamuzi ya Lissu, Vifo vinavyotokana na wivu wa mapenzi, Katiba Mpya..... somo litatuingia tu au vipi Wakuu?
View attachment 3688120