Miss wa mamaNiffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!
Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport na kutoa shukran zake kwa serikali na Samia kwenye ushindi wake, lakini sasa amshukuru nani? Si ndo hao mmesikia wametoa hela wenyewe mkaona Niffer ako na mapenzi ya kutoa pesa zake mfukoni! Mitano tena kwa Samia?
Soma Pia: Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan
Sasa wale mmetoa afmbili zenu itakuwaje? Haya turudi kwenye maamuzi ya Lissu, Vifo vinavyotokana na wivu wa mapenzi, Katiba Mpya..... somo litatuingia tu au vipi Wakuu?
View attachment 3688120
Umesikika Nifa.Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!
Nimeona watu wanakoment huko kwamba hawatamwelewa Jihan kama akifika airport na kutoa shukran zake kwa serikali na Samia kwenye ushindi wake, lakini sasa amshukuru nani? Si ndo hao mmesikia wametoa hela wenyewe mkaona Niffer ako na mapenzi ya kutoa pesa zake mfukoni! Mitano tena kwa Samia?
Soma Pia: Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan
Sasa wale mmetoa afmbili zenu itakuwaje? Haya turudi kwenye maamuzi ya Lissu, Vifo vinavyotokana na wivu wa mapenzi, Katiba Mpya..... somo litatuingia tu au vipi Wakuu?
View attachment 3688120
Baadhi ya wanawakeWanawake huwa ni wajinga naturally
Wengi ni vichwa vya kuku havihimili kirembaWatanzania wengi wana IQ ya kiwango cha chini ya 75
Kwisha habar yake kama pimbi mwandamboanaenda kupoteza mvuto wake rasmi
Arekebishe kauli sindio 😀Baadhi ya wanawake
Ndio 😅Arekebishe kauli sindio 😀
Miss kawa mbogamboga😂Miss wa mama
Ataalikwa ikulu akirudi. Lazima amtukize mamaMiss kawa mbogamboga😂
Hii ni adhabu hawawezi tu kumuacha mtu awe!🙌🏾Ataalikwa ikulu akirudi. Lazima amtukize mama
Sijui ni shindani linahusiana na nini, ila niliona post mitandaoni inasema watu wanatumiwa vocha wapige kura, na vocha huwa zinauzwa na ili zinunuliwe zinahitajika pesa na kama pesa zilipatikana means palikuwa na mtoaji wa pesa. Sasa hapo kuna kipi amekosea, kama yeye ndiye facilitator wa huo mchakato maana yake anajua anachokiongea.Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ameto shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa Rais Samia na Serikali!