Fungua biashara ya hizi mpesa tigo pesa hutaweza pata hiyo hiyo faida ila kwa sasa ni biashara ya uhakika ukiwa makini na usimamizi mzuri.Salaam Alleykhum,
Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa million 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili.
Nipo tayari kufanya biashara ktk mkoa wowote Tanzania au hata kama ni importation business kama mtaji unatosha nipo tayari.
Nipeni ushauri ili nami nitoboe.
Inalipa kwa sasa?Nunua ist ufanye ubber
Boss, supervision naweza but Kukaa golini mwenyewe siwezi, nipo tight kidogoMkuu,Ili nikupe ushauri mzuri nijibu swali hili,Je ni pesa ya urithi?mkopo?umeuza asset au umepewa tu na mfadhili/umepiga dili la chap.Pili je sasa hivi kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani na unajishughulisha na nini.
Nina kazi nzuri tu, hiyo ni akiba yangu ipo tu but nataka kuifanyia kazi kwa malengoMkuu,Ili nikupe ushauri mzuri nijibu swali hili,Je ni pesa ya urithi?mkopo?umeuza asset au umepewa tu na mfadhili/umepiga dili la chap.Pili je sasa hivi kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani na unajishughulisha na nini.
Boss, supervision naweza but Kukaa golini mwenyewe siwezi, nipo tight kidogoFungua biashara ya m_pesa,tigo pesa, Airtel money, fanya na uwakala wa nmb, Crdb, utafanikiwa Sana ,,,usiajiri mtu Anza kusimamia mwenyewe kuwa makini na matapeli utafanikiwa Sana.
Asante MuyaNunua boda 6 wape vijana walete 60000 kwa day 60000×30=1800000
Kama yako hukosi m2 kwa mweziInalipa kwa sasa?
Kwanini mkuuMleta mada biashara hyo kwa sasa HAKUNAAA...
Hela hakuna mtaani na tozo kibao...hiyo yote inaweza ishia kwenye kodiKwanini mkuu
Duuu, kumbe kitaa hakuko poa aiseeHela hakuna mtaani na tozo kibao...hyo yte inaweza ishia kwenye kodi
Mkuu wewe ni uber... Nije PM tuongee kidogo?Kama yako hukosi m2 kwa mwezi
Poa poaMkuu wewe ni uber... Nije PM tuongee kidogo?
Mangole, umenipa ukasiri sana mkuu, nipe mawazo boss wangu, niitumbukize kwenye nini hii capital boss wanguKuna watu humu jamiiforum wamesinyaa ki mawazo na kwa hakika si rahisi Sana mtu kutoboa endapo akiamini mawazo ya hawa watu. Sjui Lakini
Mimi nilikua nafanya biadhara ya huduma za kifedha kwa mwezi nikawa napata 500k kwa mtaji wa milion 2
Nikawa nauza Simu kwa mtaji wa milion mbili nikawa napata faida ya 500k kwa mwezi.
Haya baba yangu anafanya kazi ya kuuza samaki anapeleka samaki mjini kutoka ziwani, samaki ananunua 700 anauza 1600
Kwa siku analaza mpaka 50 Kama faida.
Kuna jamaa yangu anauza Simu iPhone Simu Moja anapata faida si chini ya 30k na kwa siku anaweza kuuza zaid ya pic moja.
Mchoma chips mtaani kwetu analaza 50 kwa siku Kama faida.
Sjui hawa watu wanao beza 12 milon kuleta faida ya 2milon sjui Kama wapo serious na biashara.
Kuna kitu unapaswa kufaham mtoa mada nikua, biashara unapo ianza usitegemee wateja wa kutosha anza taratibu na kwa mtaji mdogo ila biashara ikianza kuchanganya mpka kufikia mtaji wa hizo milion 12 naiman unaweza pata faida hata zaid ya hizo milion 2
In that case, umeiweka fixed deposit?Nina kazi nzuri tu, hiyo ni akiba yangu ipo tu but nataka kuifanyia kazi kwa malengo
Hapana, ipo free tu ktk a/cIn that case,umeiweka fixed deposit?