pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Fungua biashara ya hizi mpesa tigo pesa hutaweza pata hiyo hiyo faida ila kwa sasa ni biashara ya uhakika ukiwa makini na usimamizi mzuri.Salaam Alleykhum,
Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa million 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili.
Nipo tayari kufanya biashara ktk mkoa wowote Tanzania au hata kama ni importation business kama mtaji unatosha nipo tayari.
Nipeni ushauri ili nami nitoboe.