Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
- Thread starter
-
- #101
Woow, hii ni nzuri sana. wacha nitembelee website yao kuona masharti na vigezoWekeza kwa mkataba na kampuni ya vegrab.co.tz utafunga mashine za kukaushia pilipili na utalipwa na kampuni mpaka 2M Kwa mwezi
Na mradi ni mpaka 20years
Mkuu, tupe mchanganuo kidogo hapa kwenye biashara ya tofaliAnza biashara ya kufyatua tofari block
Hapo ndio wengi tunafeli, tuna mitaji ya fedha, ila hatuna mtaji wa mda. Nikushauri, usianzishe biashara ambayo huna mda nayo.Boss, supervision naweza but Kukaa golini mwenyewe siwezi, nipo tight kidogo
Sasa mkuu, ili ku-avoid hizi risks nishauri hii pesa niiweke kwenye eneo gani ili iendelee kuwa salama na itengeneze returns kiasiHapo ndio wengi tunafeli, tuna mitaji ya fedha, ila hatuna mtaji wa mda. Nikushauri, usianzishe biashara ambayo huna mda nayo.
Ok soonTupe na gharama za usafirishaji toka shamba mpk Dar pamoja na ushuru na mengineyo ili tupge hesabu ya net profit
Hivi huwa mnafanya biashara gani zinazofanya muone ugumu hivyo? Yani wewe ukioewa 12 huwezi kupata faida ya 2M kwa mwezi? Aiseeeh, kazi ipo.Milioni 12, halafu upate faida ya milioni 2 kwa mwezi!! Ukifanikiwa kupata hiyo biashara unishirikishe na mimi niifanye aisee!!
Hiyo faida siyo ya mchezo hata kidogo!!
Zifuatazo ni gharama za usafirishaji pamoja na ushuru kutoka Mbeya usangu hadi Dar es SalaamTupe na gharama za usafirishaji toka shamba mpk Dar pamoja na ushuru na mengineyo ili tupge hesabu ya net profit
Kilimo cha makaratasi +motivational speaker alianza na unyoya wa kuku Sasa hiv ana kuku 2000+Nasikia kwa milioni 12 ukilima tikiti unapata milioni 20+ ndani ya mwaka sijui ni ukweli ?[emoji205]
Njoo pm nikupe madini mdogowanguShukrani kwa ushauri. Hii pesa nimeipata kupitia kazi (Ajira) ninayoifanya kwa sasa
Aaah hay mambo ya forex sikushaur mkuuAu study forex exchange market for 6 months,. Utafute na mentor mzuri wa kukuelekeza,
Milioni mbili itakua n ndogo Sana, kwa mwezi
Nauli ya kwenda na kurudi dubai n shngap kwa experience yako mkuu??Hata ikiwa kila ki2 humo sawa na zitatosha kwa kianzio ila profit utayopata ni kubwa sana kaa uwekezaji wa hiyo mil8 kikubwa UZA jumla na rejareja utamaliza mzigo haraka na utawahi kuchukua mzigo mwingine na ukienda kwa mara ya pili dubai unaweza pata mzigo kwa discount kubwa mno yaniii kiufupiii spare parts used haimuangushiii mtuuu tuishiii humu
Kwenda na kurudi ni Tsh. Mil.1.2 mkuuNauli ya kwenda na kurudi dubai n shngap kwa experience yako mkuu??
Hii una maanisha kuwa wakala wa kampuni ya bia au kufungua duka la bia?Nunua kreti 300 za bia, uza jumla na reja reja
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aweke mzigo fixed then aachane na pisi kabisaKama ni mirathi basi nunua boda mbili harafu nyingine zipige fixed account
Achana na pisi utakua lia balaa ukiishiwa tu wanaachana nawewe.
Mungu akutangulie
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
😀😀. Mkuu mimi nimeokoka ndugu yangu, PISI kali tumewaachia akina VUNJABEI na akina FRANK KNOWS[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aweke mzigo fixed then aachane na pisu kabisa
Naijua hii biashara... Uwe tayari kwamba mwaka wa kwanza na wa pili ni wa kujenga jina na kuaminiwa na wazazi, hii siyo kama kufungua Bar mpya ambapo from day one wateja hujazana na huanza kupungua wakishapazoea. Hii ni kinyume chake... Ukifungua uanze kufanya lobbying na kuchukua walimu wazuri, ambao pia watakuwa wanakuletea wanafunzi from other schools.Tafuta sehemu ambayo ni upcoming fungua day care & nursery ya kisasa haswa, itangaze vizuri then anza kupokea mil 2 kila mwezi kama faida [emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hii kama hana muda wa kuwafuatili ni pasua kichwa...Nunua boda 6 wape vijana walete 60000 kwa day 60000×30=1800000