Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

mkuu mbona unaendelea kuniita kafir?
nani kakuambia mimi mkristo?
Huyo christian prince Alitunga hiyo aya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mbona unaendelea kuniita kafir?
nani kakuambia mimi mkristo?
Huyo christian prince Alitunga hiyo aya?

Sent using Jamii Forums mobile app
1)CP hatungi, ananukuu kama akina Sheikh Jongo(rip) alivyokuwa ananukuu biblia.

2) ujaniambia kuwa we ni mkristo,lakin we Mkristo( speculations zangu tu) lakini kumbuka hata petro walimtambua kwa kutembea na kuongea kwake kuwa ni mwanafunzi wa Yesu.

nami najaribu kukutambua uko upande gani kwa kupitia uandishi wako na uwasilishaji wako wa hoja
 

1.CP tena ndo nani?Unantajia mamtu hata siyajui
2.Unanikashfu kabisa

Inshort unanivunjia heshima.

Stop name calling and namedropping...sina mtu/kundi la watu ninaloliiga uandishi au uwasilishaji wa hoja.
I am a free thinker.
So nawewe toka kwenye huo utumwa wa mawazo tujadili hoja kwa hoja tuache umbea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa
 
nlkuwa nauliza tu....kumkamata binadam mwenzio kumkata mikono na miguu,kumtoboa macho na kumuacha juani hata akiomba maji humpi mpaka afe ni roho ya ubinadamu au ukatili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukatili Tena mkubwa sana
Hizo hadithi za uongo.
Ni Jambo ambalo haliwezekani mtume kuwafanya hivyo watu
Yaani nimeangalia hili swali lako ulivyokuwa unauliza nikahisi tu kunaunachokitafuta, na kweli nilichokidhania ndio hicho hicho ilichokikusudia.

Aisee we jamaa ni sumbua sana.

Nimecheka sana
 
Hivyo ndivyo alivyonukuliwa kiongozi wa jeshi la kienyeji Babakura Koloa, linalopambana na hao wendawazimu wa Boko Haram. Wameuawa kwa kuchinjwa yaani kukatwa makoo yao. Na hiyo ni moja ya staili ya mauaji inayotumiwa mara ya mara na hao wendawazimu. Kuuawa kwa kukatwa makoo kwa watu hao 43 wala si ajabu kwa kuwa hao wanaofanya hivyo ni wendawazimu.
 
Ujinga wote huu ni kwa ajili ya dini za watu zisizo na mashiko kwetu Waafrika.....Mungu gani anaruhusu watu wake wauane kwa kugombania dini ambayo Mungu huyo huyo hajaunda?
 
Huwezi kukuta maeneo yenye madhehebu kama ahmadiya,shia n.k kukawa na vurugu,sasa muwepo wavaa suruali fupi ni balaa,ninyi ndio mnaupaka matope uislamu.
Usilolijua ni usiku wa giza! Hivi unawafahamu Khawaarij? Au kwa jina lingine Kilaabun nnar?
Ukiwa hujui kitu shughulisha bongo yako kuuliza, usitumie kichwa kama shamba la kufugia nywele!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…