Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026.
Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao.
Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo imepungua kidogo tu.
Hapa, bongo rate ni 75%
Source😀Wafrika