Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Aug 24, 2026 #1 Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao. Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo imepungua kidogo tu. Hapa, bongo rate ni 75% SourceπWafrika
Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao. Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo imepungua kidogo tu. Hapa, bongo rate ni 75% SourceπWafrika
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Aug 24, 2026 #2 Huo Sasa Ndiyo Upendo
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Aug 24, 2026 Thread starter #3 Kennedy said: Huo Sasa Ndiyo Upendo Click to expand... Unalea singo maza na takataka yake?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Aug 24, 2026 #4 Kubwa la Maadui said: Unalea singo maza na takataka yake? Click to expand... ππ¬ππ«ππ€£π ππππππββοΈπππ ββοΈπ ββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈππππ¬π¬πππ«π«ππππ«π«
Kubwa la Maadui said: Unalea singo maza na takataka yake? Click to expand... ππ¬ππ«ππ€£π ππππππββοΈπππ ββοΈπ ββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈππππ¬π¬πππ«π«ππππ«π«