TANZIA Nigeria: Sis Osinachi Nwachukwu aliyeshirikishwa wimbo wa ‘Ekwueme’ afariki dunia

Duhh. RIP Sis Osinachi .

Siri ya kifo inakatisha tamaa
 
Inaumiza mno,, watoto na jamii itanionaje imechukua maisha ya wanawake wengi,[emoji24][emoji24][emoji24]vipigo vinatumaliza jamani,, pumzika kwa amani[emoji24][emoji24]
Pole rafiki
 
Pole rafiki
Asante zaidi tuwape pole hawa vioo vya jamii na wengine wanaoogopa jamii,na kuendelea kuishi katika utumwa na mateso, uhai una thamani na ukiondoka haurudi tena, 😢😢😢
 
Asante zaidi tuwape pole hawa vioo vya jamii na wengine wanaoogopa jamii,na kuendelea kuishi katika utumwa na mateso, uhai una thamani na ukiondoka haurudi tena, [emoji22][emoji22][emoji22]
Inaumiza sana.
 

Sista Osinachi Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Dini wa Nigeria Afariki Dunia​




Sista Osinachi akiimba nyimbo za Dini wakati wa uhai wake
MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria, Sister Osinachi Nwachukwu maarufu kupitia wimbo wake wa “Ekwueme” amefariki dunia katika Hospitali moja iliyoko Abuja nchini humo.



Taarifa kutoka vyombo vya habari nchini Nigeria zinasema Osinachi alifariki dunia jioni ya jana Ijumaa (April 8, 2022) baada ya kupambana na maradhi ambayo hayajawekwa wazi kwa takriban miezi miwili huku vyanzo vingine ambavyo havijathibitisha vikidai ni kansa ya koo.



Kifo cha Osinachi kinakuja ikiwa ni wiki mbili tu tangu kifo cha mwimbaji mwenzake Chinedu Nwadike.



Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 39 alidaiwa kuwa anaendelea vizuri kutokana na maradhi ya figo na alikuwa amepangiwa kusafirishwa kwenda nchini India kwa matibabu zaidi ambapo kifo chake kilimkuta Machi 27, 2022 kabla hajaondoka kwenda India kutibiwa.


Sista Osinachi alitamba na nyimbo ya Okwueme akishirikishwa na Mchungaji Prospa Ochimana
Baadhi yake nyimbo za Osinachi pamoja na “Nara Ekele” akiwa na Mchungaji Paul Enenche (Dunamis, Abuja), “Ekwueme” akiwa na Prospa Ochimana na nyinginezo nyingi zinazopendwa na kusikiliza/kutazamwa na mamilioni ya watu duniani kote.



Wimbo wa Ekwueme umejipatia umaarufu sana kutokana maudhui yake huku ukitasambaa na kuimbwa na jamii kubwa duniani.



Osinachi ameacha mume na watoto wanne.
 
Amepigwa na mumewe na kukanyagwa kifua hivyo akapata internal bleeding ndio kifo chake kimekuja kwa njia hii . rest in peace
 
Duuh! kama ni kweli kanyanyaswa,pole kwa wote tulioguswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…