Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

Da mgen!!
 
Wanaomba kuishi Ulaya kisha wanajilipua baada ya kuona maisha ya kule yanatofautiana na ya kwao. Waislam wana matatizo sana na ndiyo maana wanachukiwa Marekani na Ulaya
 
Ukileta andiko kwenye Qur'an Muhammad alikula tende,nitakuletea Hilo alilokatwa govi
Ulizungumzia govi na ukatoa ushahidi kwenye biblia Yesu alikatwa govi, Mimi nataka andiko Allah akisema muhammad alikatwa govi
 
Ulizungumzia govi na ukatoa ushahidi kwenye biblia Yesu alikatwa govi, Mimi nataka andiko Allah akisema muhammad alikatwa govi
Akili ndogo,ukileta andiko toka quran Muhammad alikula tende nitakuletea alikatwa govi
 
Akili ndogo,ukileta andiko toka quran Muhammad alikula tende nitakuletea alikatwa govi
Yesu umeweza kuleta andiko haraka sana na kuthibitisha alikatwa govi ila Muhammad unashindwa? hatuongelei tende hapa
 
Yesu umeweza kuleta andiko haraka sana na kuthibitisha alikatwa govi ila Muhammad unashindwa? hatuongelei tende hapa
Uwezo wako wa kufikiri mdogo,kukataa govi na kula tense ni utamaduni wa watu wa mashariki ya Kati,hawakuhitaji maandiko kuwaambia
 
Ili wamwagane urojo kwa uzuuuriii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumba yako ya vioo afu unaanzisha mchezo wa kurushiana mawe[emoji12]
Kama huyu na chezo wa kisilam[emoji23][emoji23]
 
Ogopa sana jina linaloponya, ogopa sana damu inayonena ndugu - utahangaika sana huko na huko lakini ukweli ni kwamba ni nguvu kuiona ahera kama hutamkili Yesu Kristo kama mesiya na mwana pekee wa Mungu.
 
Umewahi kusikia Yesu akisema watu waongezeke kwa kuzaliana?kuzaliwa kwenye ukristo hakukupi fursa ya kuwa mkristo
 
Una uwezo mdogo Sana wa kufikiri..na hivyo kujenga hoja!
Wewe ndio uwezo mdogo , Umesema Yesu Kakatwa govi na andiko liko wazi mpaka umri gani , Nimekuuliza swali dogo sana leta andiko Muhammad alikatwa govi , wewe unakimbilia tende , tende inahusiana vipi na tohara,
  • Matendo 7:8 Halafu Mungu akafanya naye agano ambalo tohara ni ishara yake. Hivyo, Abrahamu alimtahiri mtoto wake Isaka siku ya nane baada ya kuzaliwa....
  • Luk 2;21Siku nane baadaye, wakati wa kumtahiri mtoto ulipofika, walimpa jina Yesu,
Cha msingi umeshindwa kuweka aya Muhammad kupata huduma ya tohara , ndio nimekwambia tumefunga mada
 
Si nilikuuliza Kama alikuphila Hadi ukajua ni Govinda,hukunijibu umekua vipi Kama ni Govinda..narudia Tena,alikuphila Hadi ukajua kuwa alikua govi!?
ww ni kafiri tu[emoji849][emoji2957]
Ungekuwa muumini umgefuata maagizo haya ya Mungu wako
[emoji1484][emoji1484]
ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ
وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُم بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ

[ AN NAH'L - 125 ]
Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka.

Au kwa kwa vile hii deen ni ya warabu sio yako ndio sababu unaichafua??
[emoji1484][emoji1484]
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

Kama matusi tunayajua sana!
Tafadhali usifanye zoezi la kujamba huku una tumbo la uharo dogo!
 
Nakua kafiri na hapohapo Qur'an inakua maagizo ya mungu wangu!!!..unajua unachokizungumza!?...jua kiarabu kwanza ili uijue Qur'an iliyoteremshwa kwa lugha ya kiarabu
 
Uelewa wako juu ya neno utamaduni ni finyu,utamaduni unajumlisha na vyakula,nikaileta tense kwa sababu ni chakula Cha mashariki ya Kati,yaani utamaduni Kama kukata govi
 
Uelewa wako juu ya neno utamaduni ni finyu,utamaduni unajumlisha na vyakula,nikaileta tense kwa sababu ni chakula Cha mashariki ya Kati,yaani utamaduni Kama kukata govi
Huo sio utamaduni ni Agano kati ya Mungu na Abrahamu , sio mambo ya tende hayo
Matendo 7:8 Halafu Mungu akafanya naye agano ambalo tohara ni ishara yake. Hivyo, Abrahamu alimtahiri mtoto wake Isaka siku ya nane baada ya kuzaliwa....

Leta aya Muhammad kapata tohara, mpaka sasa anaendelea kuwa govinda
 
Na tohara wakifanya waisrael tu!?..duniani kote!!
 
Na tohara wakifanya waisrael tu!?..duniani kote!!
Ndio maana nimeomba andiko Muhammad akipata huduma ya tohari ili tujue na wapagani walikuwa wanakata govi, au ata andiko akiwa mtu mzima baada ya kupokea dini ya kiislamu kama alikatwa govi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…