Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

Kuongezea tuu USA idadi kwa asilimia kwa sasa ni sawa na ya Wayahudi ambao walianza kufika huko karne nyingi zilizopita
Mwaka huu misikiti mipya imejengwa kutokana na uhitaji Bueno Aires,La Paz na Bogota
Mwenyezi Mungu Mkubwa
 

Waislamu wanaamini yesu (isa) na sio concept ya christ (kristo). Kwamba ni messiah wa mungu alieletwa kuwakomboa wanadamu na dhambi zao.waislamu hawaamini kwamba yesu ni masiah wa mungu kwao yesu ni binadamu wa kawaida na atakufa kama binadamu wengine siku ya mwisho. Kwa hiyo christ concept ni kitu ambacho hawakubaliani nacho kabisa hivyo hao ni Antichrist.
 
Qur'an 5:17 wamekufuru wanaosema hakika ni mungu MASIHI mwana wa Maryam...tafuta jingine lakini siyo umasihi wa yesu,muwe mnasoma siyo kufuata mnayosimuliwa na watu
 
Ndivyo Γ€livyokuambia Yohana asiye Na Baba wala kujulikana?
Hizo nazo ni mikelele ya mlango ambazo hazinizuii mini Mwenye nyumba kupata usingizi mnono[emoji42][emoji38][emoji38]
 
Hizo nazo ni mikelele ya mlango ambazo hazinizuii mini Mwenye nyumba kupata usingizi mnono[emoji42][emoji38][emoji38]

Sasa tuambie huyo Yohanna ni Yohana yupi ?
Na utupe ushahidi wa majibu yako.

Ulete ushahidi wa Kuvuviwa

Kupata usingizi, Nani alikuleta hapa ? usingalikuja JF
Ungeedelea kulala Kanisani
 
Dola pesa au unamaanisha nini?

Nabii Daniel alioneshwa Tawala zote zinazopita duniani had Tawala ya mwisho ,

Haya Mambo huwez kuyakuta kwenye Quran hata kidogo
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    22.9 KB · Views: 9
Dola pesa au unamaanisha nini?

Nabii Daniel alioneshwa Tawala zote zinazopita duniani had Tawala ya mwisho ,

Haya Mambo huwez kuyakuta kwenye Quran hata kidogo

Biblia ipi utakuta hiyo picha uliyoleta?
 

Si kama unavyofikiria.

Wachache sana kwenye kisazi cha pili ya hao Wakimbizi ndio wanaofuata Uislamu. Wazungu wameshapiga mahesabu.
 
huwezi kuizuia dini ya kislaamu kukua fanya utakalo lakini huwezi kuizuia nyerere aliunda bakwata kuimaliza nguvu uislamu lakini wapi
 
Jambo moja ulisahau , Ulaya makanisa yameruhusu ndoa Za wasenge, matokeo yake uzazi umepungua sana na wenyewe wanazalishana mavi.
 
Una tatizo kwani ukristo ukiwa dini ya upili?
 
huwezi kuizuia dini ya kislaamu kukua fanya utakalo lakini huwezi kuizuia nyerere aliunda bakwata kuimaliza nguvu uislamu lakini wapi
Kweli, maana kwa jihad na kujitoa mhanga, uislam utaenea popote duniani.
 
Hata dunia nzima wangeslim na kuwa Waislam wapo Wakristo wachache watakaobaki,(Mathayo24:13-14)
Wakristo watakaobaki ni wale ambao wako tayari kufa kwa ajili ya Jina la Yesu! Hawa ndio tangu Yesu arudi Mbinguni wamepitia mateso makali na wanaendelea kupitia vipindi vigumu vya mateso hadi leo! Hawa ndio Yesu atapokuja atawachukua mbinguni,(1 Wathesalonike 4:13-17),kabla Mungu hajaiadhibu dunia kwa kipindi cha miaka 7 (DHIKI KUU).Ole ni kwa wale watakaobaki duniani,(Ufunuo6:15-17)(Ufunuo9:12)(Mathayo24:21-22).
Mkuu tujitahidi sana tuingie ule Mlango mwembamba kabla parapanda haijalia,(Luka13:24-28)
MUNGU ATUSAIDIE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…