Mahotera
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 729
- 1,847
China wameanza kuingia mikataba ya viwanda vya silaha Saudi Arabia, na wameahidi kuwauzia na technology (know-how) ya kujikinga dhidi ya makombora.
Russia aliuza technology kama hiyo kwa Uturuki.
USA nao kwa kujifanya wapo rafiki na waislamu for the first time Ramadhani hii wamewatengeneza Maimamu wa kuongoza Ibada ya Swala ya tarawehe Times Squares openely. Na futari imegawiwa bure mwezi mzima.
Kuna kamchezo huenda huko mbele waislamu wakatumiwa kama mtaji na Super Powers.