Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

وقل جاء الحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوق
Sema ukweli umedhihiri na uwongo umejitenga,
Hakika uwongo ni wenye kujitenga(wenye kupotea)

Sema nini, wasiwe waislamu jina tu
 
Amani itatawala, biashara zitaendeshwa kihalali, maendeleo yataonekana, dhulma, unyanyasaji, mauwaji, ufisadi, wizi, ujambazi n.k yote hayatakuwepo.
amani ipi waislamu wana amani wapi? magaidi na wauaji na wanajua kuhukumu kama wao ni wasafi dunia itachafuka na kunuka damu.
 
Ndio maana walianzisha vita ya biafra pale Nigeria ilu kuzuia uislamu usienee,
Na bado ukaenea,
Nakumbuka majeshi yalitoka inchi nyingi za afrika, hata sie tulipeleka,
Kweli haya ni mapambano,
Kuna upande unapigania haki na upande unapigania batili, tuombe mungu tuwe upande wa haki
 
Waislam kama wataendelea kuwakubali wazungu kusilim,basi wajue wazungu hawana nia nzuri ya uislam na hapo ndipo mambo ya wazungu kuingizwa kwenye uslam kwawingi.

Mzungu hana nia njema na dini yoyote iwe ukristo au uislam.
Wazungu wameutengenena ukristo na sasa wanaichezea dunia vile wanavyotaka.
Sasa wameona waislam ni wagumu kidogo kwenye baadhi ya mambo na mbaya zaidi.kitabu chao kilikua kinawasumbua kidogo kutokana na lugha inayotumika kwenye msahafu.

Sasa wameona ili kuuchezea uislam lazima tujifunze mafundisho yao ili tutumie baadhi ya madhaifu ili kuwabadilisha.

Kama unachosema mkuu mleta mada nikweli basi wazungu wamefanikiwa,hivyo miaka siomingi itakua vigumu kutofautisha mwislam na mkristo kitabia.
Wasipoangalia madufu na kwaya zitaendelea kupigwahadi kwenye mabar nk.
 
Mkuu
Uko sahihi
Kuna unabii unasema kuwa 2033-2043 ulaya itakuwa dola ya kiislamu Baada ya Hapo wataanza kupigana kurudisha dola ya kikristo wakiongozwa na marekani !!!
Tusubiri!
 
Qur'an ilishaeleza wazi siku za mwisho watu wataingia katika dini ya haki makindi kwa makundi...... By the way ni kweli kabisa ulaya makanisa mengi yanakua misikiti siku hizi

Unateseka mzee baba?
Hata mwandishi wa makala hii, shule hakuna "dini ya upili!". Duh!
 
Halafu itakuwa kama Syria au Nigeria sasa sijui watakimbilia wapi tena.
 
Nakuona unavyojitahidi kimuweka mbali muislam na kumkumbatia myahudi..huyo nabii wa mchongo unaedai kaja nyuma yake ndiyo 'nabii yule' aliyetajwa kwenye biblia ambaye yesu mwenyewe anamjua,myahudi hamsubiri yesu,acha uwongo..myahudi hakubali kabisa habari za yesu na ndiyo walioshupaa ashughulikiwe,mpinga kristo ni myahudi
 
Wazungu sasa hivi wakizaa sana watoto 2, kwahiyo kila uzao una watoto 2... Wakati Mwaarabu anaoa wake 4 ambao kila mmoja ana watoto si chini yua 5.. Kila uzao una watoto KARIBIA 20.. Baada ya Generation 4 dola KAMILI..
 
Soldier heshima kwako, Soldier wazungu hawatabiriki mara nyengine usije kuta kuna plan hapo behind the scene!, si bure sheikh iko namna.
 
Ukizingatia mpishano wa miaka 600 kati ya Ukristo na Uislamu wa sasa kwa maana ya Ukristo kuanza na baada ya miaka 600 ndipo Uislamu wa sasa ukaanza,utagundua kuwa kwa miaka ya mbele ni lazima Uislamu utaupita Ukristo.
 
Tatizo kwamba kule uislam ulikoshika Dola kuna hali gani?
Gulf counties
1 Saudia
2 Oman
3 Emirates
4 Qatar
5 Kuwait
6 Bahrain

Miongoni mwa nchi za kiisilamu zisizo na vita👆🏽 especially oman nchi ambayo amani imetawala zaidi ya nchi yoyote ya kiislamu.

Nchi ambazo kuna vita, je! Unataka kusema waislamu ndio wameanzisha!!! Je una uhakika ni wao!!! Mfano iraq, libya, palestina, syria, yemen, Afghanistan!!
 
Ujerumani wanageuza makanisa kuwa misikiti, na ndio taifa la ulaya linaloongoza kwa kusilimu, ufaransa n.k
Jipe moyo na picha za kudanganyika🤣🤣😂😂😂yaani mzungu kabisaa aanze kufuata tamaduni za muarabu aache zake🙄🙄🙄 wadanganye viazi wenzio safiri mpaka ujeruman kajionee sio udanganywa tuu nawewe unakubari??!!kwanza misikiti hairuhusiwi pili wahamiaji wengi kutoka nchi za kiislam au waislam wanawekwa kwenye kambi kisha wanarudishwa kwao au nchi jirani na kwao tafuta habari dira ya dunia bbc swahili wiki mbili zimepita nimesahau tarehe uone na ujiridhishe kama hujaenda ulaya🤣🤣😂😂
 
Tulieni babaa,, uisilamu unaendelea kunawiri kila kukicha,,hapa kwetu tu waislamu ni wengi kuliko wakristo mkuu.
Wadanganye viazi wenzako hebu ingia wikipedia kisha andika neno tanzania kisha ifungue uone jibu lako🤣🤣😂😂 na kingine hata mitaani tu fanya research yako muambizane waislam wote mvae kanzu na wanawake wavae hijabu uone majibu yako
 
Kwa hiyo kristo maana yake ni kufa na kufufuka!!?..mi nadhani mpinga kristo ni myahudi,kwanza anaamini yesu ni mtoto wa zinaa,pili haamini chochote Cha yesu,tatu ndiye mmiliki wa sehemu kubwa ya teknolojia duniani
Mkristo na myahudi ni kitu kimoja tofauti yetu ni kusali tu but mfano wao wanatumia bible agano la kale sisi la kale na jipya na pasaka tunasherekea wote kama hujui hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…