Hilo sahau kabisa ndugu, kama mnajidanganya hivyo mnaacha kwenda na wakati Ngoja nikujuze kidogo
Kwa takwimu za 2022 idadi ya Wakristo wote ulimwenguni inakadriwa kuwa bilioni 2.4 huku Waislam ikiwa bilioni 1.9
Kwa Africa ukitoa nchi kama nigeria ambayo mnawateka na kuwalazimisha kuwa muslim bado wakristo ni asilimia 50.
Wakristo wengi wako Africa kuliko bara lingine lolote, inakadriwa kuwa na wafuasi milioni 685 wakristo na inakadriwa kufikia 2025 watafikia milioni 760 huku muslims wakiwa milioni 450.
Sasa twende kwenye takwimu za ukuaji wa hizi dini mbili, wakati wakristo wakakadiriwa kufikia bilioni 3 out of 9.3 bilioni ya watu wote duniani by 2050, muslims inakadriwa kufikia bilioni 2.8 by 2050 kutoka 1.9 ya mwaka huu. Hivyo hata ndani ya miaka 50 ijayo christian religion itaendelea kuwa ndo dini kubwa na yenye wafuasi wengi duniani.
Uislamu haujaenea africa na Ulaya kwa sababu ni dini ya kulazimishwa, ukitoa nchi kama Morroco, Algeria, Egypt, Tunisia, UAE na Mashariki ya Kati sehemu zilizobaki duniani Uislam haujaenea kama ukristo ambao upo Africa 80%, Ulaya 75%, America kasikazini 78%, America kusini 99%, Asia 52% kwa takwimu za mwaka huu.
Angalia tena[emoji116] ujionee mwenyewe kwenye ramani, je huyo usilaumu unaosema utakuwa ndo dini ya ulimwengu nazani Unatakiwa kutathmini kauli yako upya?
Hakuna mtu anayeweza kulazimishwa afuate misingi ya dini ktk zama hizi, msipobadilika mtaendelea kuchonga na nyuzi zenu kama hizi ili mpate attention tu.
View attachment 2228535