Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

Wazunu wengi wana mtoto 1 tu, waislamu ni watoto 4 hadi 6, na hapo bado wengine wanaendelea kwenda ulaya, mfano hapo majuzi wale wa Afghanistan maaelfu wapo uingereza na ujerumani kwa sasa, ni mwendo wa kuzaliana tu na kuwachorea ramani ndugu zao
baadae watadai hayo ni maeneo yao kama wapalestina huko Israel wanavyopadai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado
WaTaliban washaanza kukaza uzi huko
Suruali njiwa
Juba Nikab kbs
 
Sio mitume na manabii. Maana makanisa kila kichochoro
 
Mkristo na myahudi ni kitu kimoja tofauti yetu ni kusali tu but mfano wao wanatumia bible agano la kale sisi la kale na jipya na pasaka tunasherekea wote kama hujui hilo
Imeamua kujifurahisha,unadanganya Nani!?..mnasherehekea nini!?..google uone utakachopata,biblia ni kitabu kilichokopi sehemu ya maandiko ya wayahudi(agano la kale na utunzi wa Paulo(agano jipya)..google ujipatie elimu
 
2050 dunia itakuwa na 100% waislam. Are you relieved now?
 
Upo sahihi sana mkuu ila, nasema ila kumbuka maisha haya haya tunayoishi ndimo na hizi dini zipo, so hawa Islam wakiwa wengi na kushika usukani wa main handle unadhani utakuwa salama wewe hama wajukuu zako?.
 
Mkristo na myahudi ni kitu kimoja tofauti yetu ni kusali tu but mfano wao wanatumia bible agano la kale sisi la kale na jipya na pasaka tunasherekea wote kama hujui hilo
Wayahudi wanasema yesu ni mtoto wa zinaa, je na nyie wakristo munasema hivyo?
 
Mkuu naomba tusaidiane tufanye kampeni kuishawishi serikali ili hii sensa ijayo tuweke kipengele cha dini ili tupate majibu ya uhakika?
Ya nini tuandikie mate na wino upo?
Na kwanini wakristo wote wanapinga hili la khesabiwa kwa dini
 
Huwa najiuliza mbona mbwa anazaa watoto wengi na bado mbwa ni wachache zidi ya ng'ombe
 
Una hoja, kaa ukijua wazungu ni namba nyingine shekheeee!!! Wanawaza vitu miaka zaidi ya 50 ijayo. Huenda wanalijua hilo na wamelifanyia analysis.

Matajiri/wazungu hupumzisha akili, ila sisi kapuku tunapumzisha mafuvu Shekheee.

Njoo ushuhudie akili zao kubwa hapa nilipo mitaa ya La Salle St, Chicago.
 
Takwimu zako feki, ulaya nchi yenye waislamu wengi kuliko zote France na idadi yao ni milioni 5.7 Kati ya wafaransa 65 milioni 😄 waliotoka algeria,Morocco, Syria , Tunisia .

Ya pili Germany milioni 5.3 kati ya wajerumani milioni 83

Nchi nyngine zote waislamu wachache !
Wazungu wakiacha ukristo hawafuati dini yoyote .
Wazungu wanatetea usawa na haki za mwanamke
 
Wazunu wengi wana mtoto 1 tu, waislamu ni watoto 4 hadi 6, na hapo bado wengine wanaendelea kwenda ulaya, mfano hapo majuzi wale wa Afghanistan maaelfu wapo uingereza na ujerumani kwa sasa, ni mwendo wa kuzaliana tu na kuwachorea ramani ndugu zao
Kuna waislamu wanaobadilisha dini wakifika ulaya usisahau hilo ,wanakuambia wanatoka Kwenye utumwa
 
Ndo hivyo inasabaa ata kwakulipua watu kwenye mikusanyiko
 
namweka mbali muislam sababu ya unafiki wake,muislam si tu kwamba anaamini kitu tofauti na mimi,ila anapingana na ninachoaminj kabisa,hakuna sehemu bible imemtaja kwa jina muhamad kama ajaye baada ya kristo,na kama ipo katika quran hilo ni swala lenu waislam na Issa wenu wa huko.

swala la myahudi kuwa mpinga kristo linatokana na mihemko yake tu,wala halihusiani na imani yake,myahusi bado anamsubiri Yesu aje kumkomboa,sio huyu mtoto wa fundi selemala.
 
Wayahudi hawamsubiri yesu,wanamsubiri masihi ambaye sifa zake ni tofauti kabisa na yesu..anayesaiwa masihi na wakiristo wayahudi wanasema hakutimiza prophecies za kimasihi...issa wa waislam akizaliwa na mwanamke bikira,jina lake Maryam,alikua muisrael,alisakamwa asulubiwe,alifanya maajabu..Kama yesu wa wakiristo ni tofauti na huyo hakuna tabu,endelea kumuomba akupeleke ufalme wa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…