Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Nilizani utashika Mbingu, kumbe Dola,. Kila Heri Huko washike Dunia yote na China wasikose kuhamia.Hili mbona liko wazi,,uislamu utashika dola.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilizani utashika Mbingu, kumbe Dola,. Kila Heri Huko washike Dunia yote na China wasikose kuhamia.Hili mbona liko wazi,,uislamu utashika dola.
wazungu awana time na misimamo ya dini shida ipo huku Africa kwa watu weusi wenye roho mbaya.
baadae watadai hayo ni maeneo yao kama wapalestina huko Israel wanavyopadaiWazunu wengi wana mtoto 1 tu, waislamu ni watoto 4 hadi 6, na hapo bado wengine wanaendelea kwenda ulaya, mfano hapo majuzi wale wa Afghanistan maaelfu wapo uingereza na ujerumani kwa sasa, ni mwendo wa kuzaliana tu na kuwachorea ramani ndugu zao
duh miaka buku iliyopita wabakie 40% tuLebanon Ina wakiristo 40%,masalia ya Vita vya msalaba, mgawanyo wa madaraka Lebanon ni kwa misingi ya dini na madhehebu, Rais mkiristo, Waziri mkuu muislam Sunni, Spika muislam shia
wakiishiwaga hoja wanakuwa hivyo ,usitesekee mkuu agiza pepsi mkubwa wao tupooze kooMambo ya dhambi na mbinguni yametokea wapi!?
Hawakuwa peke yao,palikua na wenyeji
Imeamua kujifurahisha,unadanganya Nani!?..mnasherehekea nini!?..google uone utakachopata,biblia ni kitabu kilichokopi sehemu ya maandiko ya wayahudi(agano la kale na utunzi wa Paulo(agano jipya)..google ujipatie elimuMkristo na myahudi ni kitu kimoja tofauti yetu ni kusali tu but mfano wao wanatumia bible agano la kale sisi la kale na jipya na pasaka tunasherekea wote kama hujui hilo
Upo sahihi sana mkuu ila, nasema ila kumbuka maisha haya haya tunayoishi ndimo na hizi dini zipo, so hawa Islam wakiwa wengi na kushika usukani wa main handle unadhani utakuwa salama wewe hama wajukuu zako?.Sasa ww hao waislamu wakijazana huko Ulaya au Marekani na kuzidi idadi ya wakristo binafsi inakusaidia kitu gani? Watu huwajui na Wala hawakujui kwann ushughulike na maisha yao?
Hizi dini zingine theory zake zikiwajaa sana kwenye ubongo zinawapekea kuwaza ujinga ujinga muda mwingi.
Wayahudi wanasema yesu ni mtoto wa zinaa, je na nyie wakristo munasema hivyo?Mkristo na myahudi ni kitu kimoja tofauti yetu ni kusali tu but mfano wao wanatumia bible agano la kale sisi la kale na jipya na pasaka tunasherekea wote kama hujui hilo
Mkuu naomba tusaidiane tufanye kampeni kuishawishi serikali ili hii sensa ijayo tuweke kipengele cha dini ili tupate majibu ya uhakika?Wadanganye viazi wenzako hebu ingia wikipedia kisha andika neno tanzania kisha ifungue uone jibu lako🤣🤣😂😂 na kingine hata mitaani tu fanya research yako muambizane waislam wote mvae kanzu na wanawake wavae hijabu uone majibu yako
Una hoja, kaa ukijua wazungu ni namba nyingine shekheeee!!! Wanawaza vitu miaka zaidi ya 50 ijayo. Huenda wanalijua hilo na wamelifanyia analysis.Nchi nyingi za ulaya zinapokea waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya waislamu tu (wakristo hawaruhusiwi)
waislamu hujazana kwa hizi mbinu
- Kuomba kuishi ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwasababu nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika ulaya wanaita familia zao.
-Sheria dhaifu kwa wazamiaji - nchi kama za uingereza, ufaransa, n.k hata ukizamia kiharamu sio kesi sana, kuna vyama vya siasa kibao vinalinda wahamiaji haramu na mashirika mengi yanatotoa misaada kwa maharamia.
- Kuzaliana sana ili kuongeza idadi, waislam huwa na watoto 4 hadi 6 ila wakristo wengi hasa wazungu huzaa mtoto moja tu, wengine hawana habari kabisa na ndoa wengine mashoga, n.k
- Kuoa mabinti wa kikristo na kuwabadili dini
- kushawishi wakristo kubadili dini wawe waislamu, hili linafanikiwa mno, imefikia kipindi makanisa yanabomolewa na kugeuzwa misikiti
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "compunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu,
Namba zinaongea, kwa sasa miji majiji kama London yana waislam kibao na Mayor wa London ni muislamu anaepewa sapoti kubwa na waislamu, kadri ulaya itavyozidi kuwa na waislamu wengi basi viongozi wengi watakuwa waislamu na ulaya itakuwa ya kiislamu.
Kuna waislamu wanaobadilisha dini wakifika ulaya usisahau hilo ,wanakuambia wanatoka Kwenye utumwaWazunu wengi wana mtoto 1 tu, waislamu ni watoto 4 hadi 6, na hapo bado wengine wanaendelea kwenda ulaya, mfano hapo majuzi wale wa Afghanistan maaelfu wapo uingereza na ujerumani kwa sasa, ni mwendo wa kuzaliana tu na kuwachorea ramani ndugu zao
Ndo hivyo inasabaa ata kwakulipua watu kwenye mikusanyikoNchi nyingi za ulaya zinapokea waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya waislamu tu (wakristo hawaruhusiwi)
waislamu hujazana kwa hizi mbinu
- Kuomba kuishi ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwasababu nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika ulaya wanaita familia zao.
-Sheria dhaifu kwa wazamiaji - nchi kama za uingereza, ufaransa, n.k hata ukizamia kiharamu sio kesi sana, kuna vyama vya siasa kibao vinalinda wahamiaji haramu na mashirika mengi yanatotoa misaada kwa maharamia.
- Kuzaliana sana ili kuongeza idadi, waislam huwa na watoto 4 hadi 6 ila wakristo wengi hasa wazungu huzaa mtoto moja tu, wengine hawana habari kabisa na ndoa wengine mashoga, n.k
- Kuoa mabinti wa kikristo na kuwabadili dini
- kushawishi wakristo kubadili dini wawe waislamu, hili linafanikiwa mno, imefikia kipindi makanisa yanabomolewa na kugeuzwa misikiti
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "compunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu,
Namba zinaongea, kwa sasa miji majiji kama London yana waislam kibao na Mayor wa London ni muislamu anaepewa sapoti kubwa na waislamu, kadri ulaya itavyozidi kuwa na waislamu wengi basi viongozi wengi watakuwa waislamu na ulaya itakuwa ya kiislamu.
namweka mbali muislam sababu ya unafiki wake,muislam si tu kwamba anaamini kitu tofauti na mimi,ila anapingana na ninachoaminj kabisa,hakuna sehemu bible imemtaja kwa jina muhamad kama ajaye baada ya kristo,na kama ipo katika quran hilo ni swala lenu waislam na Issa wenu wa huko.Nakuona unavyojitahidi kimuweka mbali muislam na kumkumbatia myahudi..huyo nabii wa mchongo unaedai kaja nyuma yake ndiyo 'nabii yule' aliyetajwa kwenye biblia ambaye yesu mwenyewe anamjua,myahudi hamsubiri yesu,acha uwongo..myahudi hakubali kabisa habari za yesu na ndiyo walioshupaa ashughulikiwe,mpinga kristo ni myahudi
Wayahudi hawamsubiri yesu,wanamsubiri masihi ambaye sifa zake ni tofauti kabisa na yesu..anayesaiwa masihi na wakiristo wayahudi wanasema hakutimiza prophecies za kimasihi...issa wa waislam akizaliwa na mwanamke bikira,jina lake Maryam,alikua muisrael,alisakamwa asulubiwe,alifanya maajabu..Kama yesu wa wakiristo ni tofauti na huyo hakuna tabu,endelea kumuomba akupeleke ufalme wa milelenamweka mbali muislam sababu ya unafiki wake,muislam si tu kwamba anaamini kitu tofauti na mimi,ila anapingana na ninachoaminj kabisa,hakuna sehemu bible imemtaja kwa jina muhamad kama ajaye baada ya kristo,na kama ipo katika quran hilo ni swala lenu waislam na Issa wenu wa huko.
swala la myahudi kuwa mpinga kristo linatokana na mihemko yake tu,wala halihusiani na imani yake,myahusi bado anamsubiri Yesu aje kumkomboa,sio huyu mtoto wa fundi selemala.