aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?
Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha kufungua.
Nimejaribu pia kuhifadhi kwa njia ya simu changamoto ni vipi laini ikipotea?
Maana natumia laini za mchongo.
Kibubu ndiyo siwezi kabisa nina sababu binafsi.